Halima Mdee kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee kunani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by engmtolera, Nov 1, 2010.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  jamani wadau wa jf,naitaji kujuwa hatima ya mwanasheria wetu chadema mwana dada halima mdehe kawe mambo yamekwendajee?​

  mapinduziii daimaaaa​
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,466
  Likes Received: 28,339
  Trophy Points: 280
  Nimekutana na mtu barabarani huku Mbezi beach kaniambia Halima kachukua jimbo la Kawe.....sasa sijui ni kweli au la...
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mungu msaidie huyu dada..ana thread hapa JF inayomkubali kuwa yuko bold!..Ni aina ya wanawake wanaohitajika hapa nchini!
   
 4. S

  Selemani JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 870
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hata asiposhinda, tayari kachaguliwa viti maalum.

  I'm hearing Kawe is too close to call.
   
 5. T

  The King JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! kweli hii dunia ni ndogo sana. Nami maskani ni Mbezi Beach.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 180
  Na sauti yake daily inakwaruza,Mdee for MP 2010
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,466
  Likes Received: 28,339
  Trophy Points: 280
  Too close to call in Tanzanian politics means that the incumbent is in trouble and they are looking for ways to pull off some shenanigans to defend their seat....
   
 8. W

  WildCard JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,469
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Jimbo la Kawe halina Incumbent. Rita Mlaki alizisoma vizuri alama za nyakati akatimkia viti maalum.
   
 9. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  BBC wametangaza, Kawe sister Mdee na kijana wetu Mnyika wamepeta japo si rasmi.
   
 10. K

  Kitebo Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari kutoka magic fm zinasema halima kashinda naomba na wengine wathibitishe
   
 11. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  safi sana the Bold and Beautifully hongera dada yangu
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,532
  Likes Received: 949
  Trophy Points: 280
  Kuna thread moja hapa imeonesha kuwa kashachukua jimbo!
   
 13. I

  Irizar JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Halimia mdee juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu juuuuuuuuuuuuuuu zaidi wawawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dada Halima juuuuuuuuuuuuuu am so proud pf YOU young lady!!!!! go go go woman!!! Yes wanawake juuuuuuuuuuuuuuuuu!!!! nimefurahi sana, bado mwaka 2015 tuchukuwe nusu ya nchi were were wereeeeeeeeeeee Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! na badooooooooooo
   
 14. O

  Orche Senior Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera Mdee, Hongera CHADEMA.
   
 15. sirdelta

  sirdelta JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 274
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  all the bst mdee katuwakilishe kama ulivyotuahidi kawe
   
 16. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,217
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  jamani tuzibitishie masikio na macho yote kwenu, nilikuwa bunju mpaka saa sita watu walikuwa wakibishana,
   
Loading...