beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara.
Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango ambao Waziri umesoma jana hakuna maeneo ambayo yanazumgumza tutawapanga vipi"
Akimjibu, Waziri wa Fedha amesema Mpango huo ni suala la Sekta ambao utafanywa na Serikali za Mitaa. Ameongeza kuwa, Mpango bado unaendelea kuchambuliwa.
Chanzo: BUNGE