JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
Hujaelewa maantiki ya Halima Mdee! Maana yake ni kwamba alitakiwa ajaze akiwa mbele ya msimamizi wa uchaguzi na kwa tarehe na muda alio pangiwa! Vyovyote vile ilitakiwa iwe tarehe 25.08.2020Sasa atathibitisha vipi aliijaza nyumbani ?Na kama aliijaza akiwa kwa msimamizi wa uchaguzi tarehe hiyo ?Halima Mdee hapa kachemsha.