Halima Mdee anapiga ngumi balaa!

Nasikia alipokuwa mdogo alikuwa anapiga wenzake vichwa sana shuleni. Sina uhakika ila ni habari za udaku toka kwa wanaomjuwa.
 
Kwani wanapigana ama watakuwa wanaigiza tu kusahaulisha machungu ya Arusha
 
Huyo ndo mwanamke anayefaa ku-date. Ukiwa naye hata unaweza ukalewa na bado ukawa na uhakika wa usalama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom