Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
My take:
Wakati wao wanaendelea kuchukua viongozi kutoka upinzani,maamuzi yao mengine yanatupatia mamia ya wafuasi kama ambavyo leo hii baadhi ya wahanga wa bomoabomoa hapa Dodoma wanavyohoji ni nini maana ya "hapa kazi tu" kama biashara zetu wanziua huku wakidai wana mikopo benki.
Wako busy kuchukua viongozi wa upinzani huku wakitelekeza wananchi wa kawaida.
Mafanikio ya chama tawala si kuchukua viongozi kutoka upinzani bali ni kutatatua shida za wananchi kama vile maji,elimu,afya,n.k bila kusahau ahadi za wakati wa kampeni kama ile ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji.
Kukosa maarifa ni jambo baya sana!