Halima Mdee amjia juu mwenyekiti na kubishana naye: Live Bungeni jioni

Kwanza naomba mnipokee.mim nina kamba mguuni apa jf.najua bob makani ni jaji, aliwai kugombea ubunge shy mjini kwa tiketi ya cdm.nilikutana nae kigoma mwaka 99 wakti kaburu anawika.jina ili la mhamed nalisikia leo
 
..Mohamed "Bob" Makani ndiyo jina lake.

..mnaobisha hamumfahamu vizuri huyu mzee.
 
..ushahidi kuhusu jina la mtu ninayemfahamu?

..are u kidding me!!??
 
..sina haja ya kuhangaika kote huko.

..ninavyoelewa mimi jina lake ni Mohamed "Bob" Makani.

..Bob is just a nickname that has stuck with him, lakini jina lake halisi la kwanza ni Mohamed.
 
wapi ulimjulia? wakati nyaraka zote Jina hILO noo. sababu hasa ya kufchwa jina hili nini?
Labda waliamua kulificha ili wajue kuwa ni mwenzao hakuna sababu yoyote itakayotolewa itakayokuwa na mantiki. Kuna Dr mmoja mwenyeji wa tabora ana majina matatu ya kijadi na watoto wake amewaita ya mfano kama "mbegu" "kasanda" na mengineyo yasiyohusiana na dini yake japo yeye ni mwislam safi lakini ameangalia mazingira yaliyopo zaidi kwani ni rahisi sana kumlima kwenye list ya wanaokuwa selected kuendelea na masomo yajuu na maswala mengine ikiwa angetumia majina ya Mohamed au Rahma!
 
kunyangamka kalale ukuwe,pana ujuha wa kuanzissha vipumbafu ving bila umakini toka kwa kiumbe weye dhalimu m-che-nzi suguliwa
 
sasa wakazi gani hapa katika mjadala hali wanasema hairusu name calling?

Hiyo name calling utakuwa umeielewa vibaya, maana ya name calling ni kama mimi najua Romance kwenye maisha ya kawaida anaitwa John Shibuda, halafu kwenye post yako naanza kukuita Shibuda wakati hapa kwenye jukwaa unatumia jina la Romance.
 
  • Sokomoko said:
    Labda waliamua kulificha ili wajue kuwa ni mwenzao hakuna sababu yoyote itakayotolewa itakayokuwa na mantiki. Kuna Dr mmoja mwenyeji wa tabora ana majina matatu ya kijadi na watoto wake amewaita ya mfano kama "mbegu" "kasanda" na mengineyo yasiyohusiana na dini yake japo yeye ni mwislam safi lakini ameangalia mazingira yaliyopo zaidi kwani ni rahisi sana kumlima kwenye list ya wanaokuwa selected kuendelea na masomo yajuu na maswala mengine ikiwa angetumia majina ya Mohamed au Rahma!

    • Sokomoko,

      ..kama Harun Mahundi alivyoukwaa u-IGP wakati wa Mzee Ruksa.

      ..nasikia Mzee alichukia sana alivyokuja kugundua kwamba alifanya makosa kwa kuteua mtu siye.
 
Hiyo name calling utakuwa umeielewa vibaya, maana ya name calling ni kama mimi najua Romance kwenye maisha ya kawaida anaitwa John Shibuda, halafu kwenye post yako naanza kukuita Shibuda wakati hapa kwenye jukwaa unatumia jina la Romance.

maneno yako inaonesha nimeonewa kabisa mimi nilitaja mtu mmoja mwenye id mbili wakatoa post eti kisa name calling tena mara mbili.
 
Back
Top Bottom