Halima Mdee amjia juu mwenyekiti na kubishana naye: Live Bungeni jioni

tena ccm mwaka huu watakoma kwan walizoea kupigiana makofi na kusinziasinzia, sasa watajuta kwan mbunge mmoja wa chadema sawa na wabunge wa ccm 15 wa kuchaguliwa au 20 wa kuteuliwa,lakin 30 wa aina ya kaptein Kombo na wossira.
 
mlizoea kupigiana makofi na kusinzia,sasa mtakoma,kwan mbunge mmoja wa chadema ni sawa na wabunge wa ccm 15 wa kuchaguliwa au 20 wa kuteuliwa, lakin 30 wa aina ya kaptein kombo na wossira.
Yaelekea hesabu uliiacha ukiwa darasa la kwanza! Nakushauri urudi tena shule
 
Duh! Hiyo ofisi hata jenereta haina? Si mlijidai wajanja kumchagua mpinzani?

Kwa hiyo nyie Ma-mbwa mnakomoa wananchi kwa kuwanyima haki zao za kimsingi, eti kisa walichagua Wapinzani?
Halafu unajileta kabisa hapa JF kusifia upumbavu wa hiyo mnayoiita Serikali chini ya Kikwete?
Ok..........................
 
Safi sana mheshimiwa Mdee naona sasa yale maji uliyotuahidi wananchi wa boko yataanza kutoka kwa msimamo wako wa kubishana na Mkiti.
Huyu hafiki 2013! Inabidi wananchi wa Kawe wasimame kidete kumwondoa! Badala ya kwenda kuwatetea anakuwa mtu wa mipasho bungeni! Poor girl!
 
Kwa hiyo nyie Ma-mbwa mnakomoa wananchi kwa kuwanyima haki zao za kimsingi, eti kisa walichagua Wapinzani?Halafu unajileta kabisa hapa JF kusifia upumbavu wa hiyo mnayoiita Serikali chini ya Kikwete?Ok..........................
Point ni kwamba, hao wanaojiita chadema hawawezi kusimamia vizuri majimbo yao! Kazi kubwatuka tu bungeni waonekane!
 
Point ni kwamba, hao wanaojiita chadema hawawezi kusimamia vizuri majimbo yao! Kazi kubwatuka tu bungeni waonekane!

Wataweza vipi kutekeleza ahadi zao iwapo Chama Tawala kinaleta ubabe kwa kuwanyima wananchi wa maeneo husika Huduma za msingi?
 
wananchi wanaowapigia kura hawa wa-bunge wa CCM nao wanatia mashaka, yaani aileti sensi kuendelea kuwakumbatia na kuwapa ridhaa kuingia bungeni Wabunge wasiokuwa na mtazamo wa kimaendeleo. Ni heri watu tusipige kura na watakao jipendekeza kwenye hizo nafasi (ubunge) bila kuwa na mwelekeo ni kuwatembezea kichapo.
 
siipendi ccm..magamba hawa hawafai kabisa nahisi wanafanana na magamba yao ya kenge
 
Kwa hyo hii mnaona ni habari ya kusisimua nyie panya?pamoja na ubaya wa ccm mnao unadi bado inawaongoza na jk ndo boss wenu...huyo demu halima anajiona kalizoea bunge co?akaendeleze taaluma yake ya usagaji kwao!
Na wewe gamba 2mwaji posho yako kwa cku ni kiasi gani... basi usichoke ongeza juhudi inaweza panda next month.
 
Point ni kwamba, hao wanaojiita chadema hawawezi kusimamia vizuri majimbo yao! Kazi kubwatuka tu bungeni waonekane!

Sikujua wala sikufikiria uko kilaza kiasi hicho katika michango yote ya hii post
 
Kwa hyo hii mnaona ni habari ya kusisimua nyie panya?pamoja na ubaya wa ccm mnao unadi bado inawaongoza na jk ndo boss wenu...huyo demu halima anajiona kalizoea bunge co?akaendeleze taaluma yake ya usagaji kwao!

Matusi ni kuishiwa hoja
 
wananchi wanaowapigia kura hawa wa-bunge wa CCM nao wanatia mashaka, yaani aileti sensi kuendelea kuwakumbatia na kuwapa ridhaa kuingia bungeni Wabunge wasiokuwa na mtazamo wa kimaendeleo. Ni heri watu tusipige kura na watakao jipendekeza kwenye hizo nafasi (ubunge) bila kuwa na mwelekeo ni kuwatembezea kichapo.
Na wewe pia uliipa CCM kura yako! Ndiyo maana tukashinda kwa asilimia kubwa!
 
Back
Top Bottom