Halima Mdee ajiunga na kundi la wanasiasa kutukana madaktari!

huyo dada anazeeka vibaya sana. alitaka waende kwa mashinji? katibu mkuu wa CCM ni zaidi ya waziri wa utumishi kwa sababu anahusika moja kwa moja kuisimamia serikali nzima kuhusu İLANİ na SERA na ndio mshauri mkuu wa rais kwa mambo ya sera.

Zero brain
 
Ujinga mwingine!!THE so called WASOMI wanaenda PIGIA GOTI KATIBU MKUU wa CHAMA kwa masuala yanayosimamiwa na SHERIA za UTUMISHI wa UMMA!! kiukweli ELIMU ya Mkoloni ililenga kutufanya watumwa na vibarua tu!!-Ametweet Halima Mdee

Kama wanavyofanya wanasiasa wengine nchini Tanzania Bi Halima ameingia kwenye kundi la wanasiasa wanaodhalilisha taaluma ya udaktari nchini.Amefanya hivi huku akisahau kuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Mashinji ni mmoja na mwanajumuia wa MAT ambao amewaita wajinga !!

Ombi langu kwake ni moja tu ..aombe msamaha kwa kudhalilisha kada ya madaktari nchini.

Katibu mkuu wa Chadema atolee ufafanuzi kauli ya mwanachama wake kuhusu matusi haya kwa koligi wenzake na yeye mwenyewe.

Chadema watakuwa ni zaidi ya wajinga kuruhusu mmoja wa madaktari wajinga kuwa katibu mkuu wa Chama chao!

Naamini ipo siku Halima mdee atatamani kutibiwa na madaktari wajinga wa Tanzania.
Hao wanasiasa wengine mbona unakwepa kusema ni majizi ya CCM?
 
mwambie Mkapa aombe msamaha kwa kutuita malofa 2015 jangwani.
mwambie Magufuli aombe msamaha kwakuwaghiri/kuwapora/ kupoka KOROSHO za wakulima kwanza.
 
Mjinga ni wewe jingalao huko Lumumba unayejiaminisha Kwamba Katibu Mkuu wa chama chako naye ni Kiongozi wa Serikali.

Elewa na zingatia kwamba huyo si muajiri na wanaokosoa "ujinga" huo wanazo sababu za msingi zinazojiegemeza kwenye sheria za Utumishi wa Umma.
 
Askofu Shoo alipomkaribisha madhabauni Dr Bashiru alikuwa anawakilisha wajinga wepi?
 
Baadae yakiwapata maradhi wanaogopa kutibiwa wanalazimisha kutibiwa nje kama Tundu lissu
 
Tena wewe ndio unapaswa umuombe radhi Mashinji kwa kuupotosha umma wa watanzania kuwa Mashinji kampigia goti ndege manyoya yeyote wa kijani

Una masaaa 24 tubya kuomba radhi laa sivyo utaambulia dharau kutoka kwa tulio wengi
 
Kwani Mashinji sio mwanajumuiya wa MAT?
 
Kwa hiyo sifa nyingine ya Mashinji ni mjinga?
Moja ya sifa ya daktari thabiti ni kama ile iliyooneshwa na yule daktari wa iringa kwa ally hapi au Dr. Eric bakuza kule mkoani kwa singida Rehema nchimbi kipindi fulani. Hao wengine waaojadiliwa hapa hawana tofauti na mgaya/msigwa wa tukta
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom