Halima Mdee ajiunga na kundi la wanasiasa kutukana madaktari!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
30,504
2,000
Ujinga mwingine!!THE so called WASOMI wanaenda PIGIA GOTI KATIBU MKUU wa CHAMA kwa masuala yanayosimamiwa na SHERIA za UTUMISHI wa UMMA!! kiukweli ELIMU ya Mkoloni ililenga kutufanya watumwa na vibarua tu!!-Ametweet Halima Mdee

Kama wanavyofanya wanasiasa wengine nchini Tanzania Bi Halima ameingia kwenye kundi la wanasiasa wanaodhalilisha taaluma ya udaktari nchini.Amefanya hivi huku akisahau kuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Mashinji ni mmoja na mwanajumuia wa MAT ambao amewaita wajinga !!

Ombi langu kwake ni moja tu ..aombe msamaha kwa kudhalilisha kada ya madaktari nchini.

Katibu mkuu wa Chadema atolee ufafanuzi kauli ya mwanachama wake kuhusu matusi haya kwa koligi wenzake na yeye mwenyewe.

Chadema watakuwa ni zaidi ya wajinga kuruhusu mmoja wa madaktari wajinga kuwa katibu mkuu wa Chama chao!

Naamini ipo siku Halima mdee atatamani kutibiwa na madaktari wajinga wa Tanzania.
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
5,960
2,000
Ujinga mwingine!!THE so called WASOMI wanaenda PIGIA GOTI KATIBU MKUU wa CHAMA kwa masuala yanayosimamiwa na SHERIA za UTUMISHI wa UMMA!! kiukweli ELIMU ya Mkoloni ililenga kutufanya watumwa na vibarua tu!!

Kama wanavyofanya wanasiasa wengine nchini Tanzania Bi Halima ameingia kwenye kundi la wanasiasa wanaodhalilisha taaluma ya udaktari nchini.Amefanya hivi huku akisahau kuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Mashinji ni mmoja na mwanajumuia wa MAT ambao amewaita wajinga !!

Ombi langu kwake ni moja tu ..aombe msamaha kwa kudhalilisha kada ya madaktari nchini.

Katibu mkuu wa Chadema atolee ufafanuzi kauli ya mwanachama wake kuhusu matusi haya kwa koligi wenzake.

Naamini ipo siku Halima mdee atatamani kutibiwa na madaktari wajinga wa Tanzania.
Jinga lao
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
5,990
2,000
Kama Mashinji hakuwepo ktk hao walioenda kumpigia huyo katibu magoti then hausiki na hiyo kauli.

Shida unataka tuamini kile ulichokiandika em weka uthibitisho hapa Mashinji akipiga goti kwa mtu tujue hiyo kauli kama inamuhusu amma haimuhusu.
 
mgoloko

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
4,692
2,000
Ujinga mwingine!!THE so called WASOMI wanaenda PIGIA GOTI KATIBU MKUU wa CHAMA kwa masuala yanayosimamiwa na SHERIA za UTUMISHI wa UMMA!! kiukweli ELIMU ya Mkoloni ililenga kutufanya watumwa na vibarua tu!!-Ametweet Halima Mdee

Kama wanavyofanya wanasiasa wengine nchini Tanzania Bi Halima ameingia kwenye kundi la wanasiasa wanaodhalilisha taaluma ya udaktari nchini.Amefanya hivi huku akisahau kuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Mashinji ni mmoja na mwanajumuia wa MAT ambao amewaita wajinga !!

Ombi langu kwake ni moja tu ..aombe msamaha kwa kudhalilisha kada ya madaktari nchini.

Katibu mkuu wa Chadema atolee ufafanuzi kauli ya mwanachama wake kuhusu matusi haya kwa koligi wenzake.

Naamini ipo siku Halima mdee atatamani kutibiwa na madaktari wajinga wa Tanzania.
Ulichagua jina linalofanana na ujinga ulionao! sasa hapo Mdee kakosea nini? hayo si mmeyatengeneza wenyewe ccm! utakuta diwani kaishia std 7 lakini anaitwa mheshimiwa na mtumishi wa Halmashauri mwenye taaluma huu kama sio upumbavu ni kitu gani? Kisa diwani anakaa vikao pengine vya kupendekeza mtumishi kufukuzwa kazi! CCM waache ujinga hatuwezi kupiga hatua kwa mfumo huu, ningekuwa mimi hawa ma-RC Na Ma-DC vyeo vyote ningefuta sabb ni mfumo wa zama za mkoloni na walitumika sana kupeleka umbea kwa mtawala
 
omari londo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
1,812
2,000
Ujinga mwingine!!THE so called WASOMI wanaenda PIGIA GOTI KATIBU MKUU wa CHAMA kwa masuala yanayosimamiwa na SHERIA za UTUMISHI wa UMMA!! kiukweli ELIMU ya Mkoloni ililenga kutufanya watumwa na vibarua tu!!-Ametweet Halima Mdee

Kama wanavyofanya wanasiasa wengine nchini Tanzania Bi Halima ameingia kwenye kundi la wanasiasa wanaodhalilisha taaluma ya udaktari nchini.Amefanya hivi huku akisahau kuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Mashinji ni mmoja na mwanajumuia wa MAT ambao amewaita wajinga !!

Ombi langu kwake ni moja tu ..aombe msamaha kwa kudhalilisha kada ya madaktari nchini.

Katibu mkuu wa Chadema atolee ufafanuzi kauli ya mwanachama wake kuhusu matusi haya kwa koligi wenzake na yeye mwenyewe.

Chadema watakuwa ni zaidi ya wajinga kuruhusu mmoja wa madaktari wajinga kuwa katibu mkuu wa Chama chao!

Naamini ipo siku Halima mdee atatamani kutibiwa na madaktari wajinga wa Tanzania.
Angetukana na hilo jinga lenu mnaloliabudu mi kwangu ndio ingekuwa burudani kabisaaaa
 
KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,533
2,000
huyo dada anazeeka vibaya sana. alitaka waende kwa mashinji? katibu mkuu wa CCM ni zaidi ya waziri wa utumishi kwa sababu anahusika moja kwa moja kuisimamia serikali nzima kuhusu İLANİ na SERA na ndio mshauri mkuu wa rais kwa mambo ya sera.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
30,504
2,000
We mjinga kweli! Unaulizwa pamoja na kwamba hakuna ushahidi wapi hayo matamshi yanaashiria tusi?
Kwa hiyo kuanzia sasa tumuite katibu wa Chadema ambaye ni member wa MAT kuwa ni mmoja wa wajinga aliowataja halima mdee?Yaani kwa tafsiri nyingine chadema inaongozwa na form six failure pamoja na daktari mjinga.
 
kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
539
1,000
Ujinga mwingine!!THE so called WASOMI wanaenda PIGIA GOTI KATIBU MKUU wa CHAMA kwa masuala yanayosimamiwa na SHERIA za UTUMISHI wa UMMA!! kiukweli ELIMU ya Mkoloni ililenga kutufanya watumwa na vibarua tu!!-Ametweet Halima Mdee

Kama wanavyofanya wanasiasa wengine nchini Tanzania Bi Halima ameingia kwenye kundi la wanasiasa wanaodhalilisha taaluma ya udaktari nchini.Amefanya hivi huku akisahau kuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Mashinji ni mmoja na mwanajumuia wa MAT ambao amewaita wajinga !!

Ombi langu kwake ni moja tu ..aombe msamaha kwa kudhalilisha kada ya madaktari nchini.

Katibu mkuu wa Chadema atolee ufafanuzi kauli ya mwanachama wake kuhusu matusi haya kwa koligi wenzake na yeye mwenyewe.

Chadema watakuwa ni zaidi ya wajinga kuruhusu mmoja wa madaktari wajinga kuwa katibu mkuu wa Chama chao!

Naamini ipo siku Halima mdee atatamani kutibiwa na madaktari wajinga wa Tanzania.
Umenena kweli...! Afu sie wa Jimbo la kawe tunajuta kuweka huyu bi dada,katulostisha mno....,next time kurudi bungeni labda viti maalumu.
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,432
2,000
Ni dhahiri kuwa daktari hakumfanyi mtu kutofanya ujinga.
Yeyote anaweza kufanya ujinga kwa bahati mbaya ama kwa kukusudia
 
leloic

JF-Expert Member
Apr 6, 2013
576
1,000
Mwalimu nyerere alisema ukiitwa mjinga (stupid) ni kwasababu haujui ukishajua wewe sio mjinga tena

ilaa ukikataa kujua wewe ni mpumbavu(ignorant)
 
Top Bottom