The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,229
- 116,840
Hivi mliona kwenye TV sherehe za mei mosi Mtwara?
Mkuu wa mkoa huyo akiwa anawahutubia wafanyakazi uwanjani akaanza kuwaita watu wakaja mbele na kuwasimamisha kazi hapo hapo. Kweli hii nchi ilipofika hata kuhutubia watu kuhusu umuhimu wa sheria ni kazi bure
Eti mkurugenzi wa Nanyumbu yupo? aje hapa. na wewe tunakusimamisha kazi. Imagine mtu kaenda tu kwenye sherehe za Mei mosi...kumbe ndo siku hiyo hiyo anasimamishwa na kazi hadharani.
Mwenye clips aweke hapa, sijawahi kushangaa kama hivi
Chanzo: Azam two mei mosi Mtwara