Halibya upatikanaji wa. umeme katika jiji la dar es salaam na zanzibar

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
*TAARIFA KWA UMMA*

*HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR*

*Machi 26, 2019*

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam na Zanzibar kuwa matengenezo kinga ya mashine namba 3 ya Kituo cha Ubungo II yanaendelea

Aidha, Kampuni ya Songas imeanza matengenezo makubwa yanayoenda sambamba na kubadilisha "engine" ya mashine namba 3 baada ya muda wake kuisha kuanzia tarehe Machi 25, 2019 na yanayotarajiwa kukamilika Aprili 09, 2019.

Kutokana na matengenezo hayo baadhi ya maeneo ya Mikoa ya TANESCO ya Dar es Salaam ambayo ni Kinondoni Kaskazini, Kinondoni Kusini, Temeke na Ilala pamoja na Zanzibar yatakuwa na upungufu wa umeme na hivyo kuathiri maeneo hayo kwa nyakati tofauti.

TANESCO itaendelea kutoa taarifa ya Maendeleo ya kazi ya matengenezo ya kituo cha Ubungo yenye lengo la kuwezesha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa Dar es Salaam na Zanzibar kwa siku zijazo.

Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

Tovuti: www.tanesco.co.tz,

*Mitandao ya kijamii*

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

*IMETOLEWA NA:*

OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa taarifa mkuu
 
Back
Top Bottom