Hali yazidi kuwa ngumu Kenya dhidi ya Corona, Wabunge watatu watoa machozi baada ya kusikia shida madaktari wanazopitia

Wasimamizi wote waliohudhuria na kufuatilia uchaguzi wameonyeshwa kuridhishwa na uchaguzi jinsi ulivyofanyika, wapiga kelele mitandaoni na wapinzani ambao ni kawaida yao Africa nzima kupinga kila matokeo, ndio wanaopinga.

Lini wapinzani walishakubali kushindwa hapa Tanzania, Kenya na nchi zote za Africa ukiacha South Africa, Ghana na Nigeria katika baadhi ya chaguzi?
Mkuu mpaka Jiwe mwenyewe kakiri kuwa walifanya figusi, wewe ni nani unabisha?
 
Wasimamizi wote waliohudhuria na kufuatilia uchaguzi wameonyeshwa kuridhishwa na uchaguzi jinsi ulivyofanyika, wapiga kelele mitandaoni na wapinzani ambao ni kawaida yao Africa nzima kupinga kila matokeo, ndio wanaopinga.

Lini wapinzani walishakubali kushindwa hapa Tanzania, Kenya na nchi zote za Africa ukiacha South Africa, Ghana na Nigeria katika baadhi ya chaguzi?
Mkuu wewe na Naton Jr ni mke na mume au ni mume na mke? Maana mko na akili sawa
 
Sasa ugonjwa wenyewe mshaambiwa hauna kinga Wala dawa wanini kuhangaika nao? matatizo mengine ni ya kujitakia.
Na tulishawaonya....shauri yao
EkYe47cXgAE80T4.jpg
 
Back
Top Bottom