Hali ya usalama kwa wanafunzi/ Watanzania waishio Wuhan nchini Uchina ipo matatani, waiomba Serikali iwarudishe nchini

Sikubaliani na mawazo haya huu utakuwa uzalendo wa kioga, uzalendo wa kuogopa matatizo ni upuuzi!

Inawezekana pakatengwa eneo maalum wakakaa hata mwezi wanachunguzwa ili tujiridhishe, haya mambo yanaweza tokea hata hapa kwetu hivyo unadhani hatustahiri kuwasaidia?
Who they care even hata technologies ya Kuwa care haipo.
Vipimo mpaka south Africa.
Don't you see China wenyewe Kwa wenyewe wameshindwa kudhibiti kusambaa Kwa ugonjwa how about us

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wazungu wakiri hawajui chochote kuhusu iko kirusi
Only guesses hear and there


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kirusi kipya chenye tabia tofauti na hakuna tafiti za kutosha kukihusu hivyo kwa sasa tafifi nyingi zinafanyika kukijua zaidi, ndiyo maana hata namna kinavyoambukizwa bado ni machache yajulikanayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi hatuna technologies wala wataalamu wa kujua na kugundua ,
Only southafrica ndo wana vifaa vya kugundua.
Ila hamna Nchi ya Africa iliyo kubali kuwarudisha raia wake.
Coz we can't narudia tena they fews they will kill all of us coz that is mission and our countries and African is target

Sent using Jamii Forums mobile app



Shida ni hii kwamba watu wanaingia freely kutoka China bila kuwekwa kambini kwa uchunguzi wa muda, mfano 14- 24 days, Tujifunze kwa wenzetu tusing'ang'anie kwamba kila kitu hatuwezi, sasa tutaweza nini??!!, Wajerumani wameweka kambi kwa watu wote wanaotoka China, wanakaa kambini kwa muda huku afya zao zikichunguzwa na wakijiridhisha ndipo huruhusiwa kuingia uraiani, hata hili tunashindwa??, dawa ya huo ugonjwa hakuna, lakini dawa inayotumika ni ARV na ile ya mafua ya SARS na wahudumu wanatakiwa wavae protective garments.

Juu ya yote ni lazima tujiandae hatuwezi kuwa salama muda wote ilhali ugonjwa huo unaendelea kutapakaa duniani, leo upo kenya (japo haijathibitishwa), Ivory coast na Ethiopia.
 
Huo ugonjwa wametenezewa wachina kama WaAfrica walivyotengenezewa HIV..

Ugonjwa hauingii kwa mtu mweusi na hata ukiingia inakuwa kama malaria tu..
 
Uwezo upo, mbona tumenunua ndege, je tunashindwa kununua protective garments tu na madawa ya kunyunyiza??, tufanye kwa bahati mbaya (the worst case scenario) ugonjwa umeingia tutakaa tu bila kufanya kitu kwakuwa hatuna uwezo??, kumbuka dunia leo ni kijiji.

Mungu atunusuru.
Unafananisha vitu visivyofanana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaekataa utaratibu wa dini ndio mjinga zaidi.kwasisi waisilam haihurusiwi kuwachukuwa hao.mtume kasema hivi inapotokea ugonjwa wa "tauni" ktk sehemu fulani basi aliopo ktk mji huo au nchi hiyo asitoke humo,na asiekuwepo humo ktk mji au nchi hiyo iliyopatwa na huo ugonjwa basi asiingie ktk mji/nchi hiyo.kuepusha madhara zaidi,"tauni" ni ugojwa unaoelezewa kuwa ni jamii yakipindupindu, sio hii tauni inayoenezwa na panya.muhimu hilo andiko linahusu magonja yote ya mlipuko wakuambukiza.kwahiyo wazuiwe hadi mlipuko huwo utakapoisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Unalazimisha kila mtu awe na dini? Au unalazimisha kila mtu aamini unachoamini wewe??
- Lengo la kuandika huu uzi sio dini, otherwise ungeukuta kwenye jukwaa la dini huko. Tumepewa akili kama tutashindwa kuzitumia akili zetu kufanya kile kinachowezekana for the sake of humanity then tutakua hatutimizi lile lengo lililotuleta hapa duniani.

- We all know kwamba kunauwezekano wa ndugu zetu kutelekezwa huko ugenini, ts a clever move kufanya walicho fanya. Ndio kurudi kwa sasa haiwezekani lakini inatia moyo kuona ndugu zao wanawashika mkono na wanawasemea ili uongozi usijisahau na kuwaacha/ kutelekezwa.

- Naamini baada ya video hii kutoka a lot will change for the better. Watanzania wengi kawaida yao ni roho mbaya but i didn't expect itafikia this extent,
Sisi ni kina nani kwenye hii dunia kuamua who lives and who dies??

- Tuungane pamoja kuendelea kuikumbusha serikali ili iendelee kuwajali ndugu zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalazimisha kila mtu awe na dini? Au unalazimisha kila mtu aamini unachoamini wewe??
- Lengo la kuandika huu uzi sio dini, otherwise ungeukuta kwenye jukwaa la dini huko. Tumepewa akili kama tutashindwa kuzitumia akili zetu kufanya kile kinachowezekana for the sake of humanity then tutakua hatutimizi lile lengo lililotuleta hapa duniani.

- We all know kwamba kunauwezekano wa ndugu zetu kutelekezwa huko ugenini, ts a clever move kufanya walicho fanya. Ndio kurudi kwa sasa haiwezekani lakini inatia moyo kuona ndugu zao wanawashika mkono na wanawasemea ili uongozi usijisahau na kuwaacha/ kutelekezwa.

- Naamini baada ya video hii kutoka a lot will change for the better. Watanzania wengi kawaida yao ni roho mbaya but i didn't expect itafikia this extent,
Sisi ni kina nani kwenye hii dunia kuamua who lives and who dies??

- Tuungane pamoja kuendelea kuikumbusha serikali ili iendelee kuwajali ndugu zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app



Naam, watu hawajui kwamba uzalendo ni pande mbili; Raia kuwa mzalendo kwa nchi na pia nchi (serikali) iwe mzalendo kwa raia wake.
 
Siyo kitu rahi
Nafikiri ni muda sasa Serikali iwafikirie vijana wetu Watanzania walioko nchini China (hasa walio kwenye maeneo yalioathirika zaidi na Corona virus).

Hofu inazidi kutanda si kwa vijana hao pekee bali hata kwa ndugu zao tulio Tanzania.

Nimehuzunishwa sana na ujumbe wa video ikiwaonyesha vijana wakiitaka na kuiomba serikali iwarudishe nyumbani Tanzania.

I believe serikali yetu inapenda raia wake, na hawa vijana wapo kwenye wakati ambao wana uhitaji huo upendo more than anything.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwarudisha wanafunzi hao kwa sasa siyo busara kabisa ki-afya. Inauma sana kwa wazazi ila huo ndiyo ukweli.
Ugonjwa huu, ni mpya kwetu na hatuna uwezo wa kuutibu wala kuuzuia [capacity]usienee kama ukiingia nchini.
Huko walipo, kuna facilities ambazo zina ubora maradufu. Kwa hapa kwetu hatuna hata uwezo wa kugundua kama mtu ameambukizwa. Taarifa zilizopo ni kuwa kwa Afrika kuna maabara zisizo zidi 2 ambazo zinauwezo wa kuthibitisha ugonjwa huu.
Hapa kwetu tunachokifanya, ni kuzuiwa uwezekano wa gonjwa hili kuingia nchini na ndiyo maana wametenga eneo ambalo litahifadhi kwa siku 14 yeyote yule ambaye anaonekana kuwa na dalili za gonjwa hilo.
Hivi karibuni,kuna baadhi ya nchi zilizoendelea zilirudisha raia wake ambao walikuwa huko na matokeo yake maambukizi yalihama toka kwa baadhi ya watu hao na kuambukiza wenzao ndani ya ndege[confined space] pamoja na baadhi ya wahudumu wa ndege hiyo nao pia waliambukizwa na hivi sasa tatizo la ugonjwa huo limekuwa janga kubwa zaidi kwa nchi hiyo kuliku ilivyokuwa kabla ya kuwarudisha nyumbani.
 
Njia sahihi na salama zaidi kwa vijana wa wuhan za kuepuka maambukizi ni kukaa ndani.Huu ugonjwa wa corona sio airborne( hauambukizwi kwa njia ya hewa). Unaambukizwa kwa njia ya matemate yanayotoka mdomoni kwa mwathirika.Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wakapata maambukizi hata wakiwa njiani kwenda airport.Huduma zote za muhimu wanapewa na sio kwamba wanatelekezwa.as of today hakuna mtanzania hata mmoja ambaye ameripotiwa kuambukizwa huu ugonjwa.wako salama na wataendelea kuwa salama as long as wanafuata masharti waliyopewa.Tatizo vijana wetu wa siku hizi ni mayai sana
 
Hivi sisi waafrika tutaweza kitu gani hapa duniani??-- tunaweza uchawi na roho mbaya tu.

Kugoma ndugu zetu waliopo china wasirudi ni sehemu moja ya uchawi wa kiafrika.
Ndio tunachoweza kumbe unajua. Mengine tuwaachie ngozi nyeupe. Tusitake kulazimisha mambo. Malaria tu imetushinda sembuse corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalikuwepo huko Baba au mama yako yako kazuiliwa kurudi huku je ungesema kauli hiyo??-- abaki huko aambukizwe ugonjwa au arudi huku bila ugonjwa na awe chini ya uangalizi (under quarantine) kwa muda fulani kuangalia afya yake kabla ya kukutana na wewe mtoto wao. Chhose the right course.
Tatizo huku rasilimali pesa/watu wa kufanya hiyo quarantine ni finyu..
 
Haupo kenya, hizo ni suspected cases
Sahv ni ngumu mtu kutoka China
Hali itakapotulia lini???, miezi, miaka, miongo??, can you predict???. Hali ya Ukimwi leo imetulia??., ni watu wangapi kila siku wanaingia Tanzania kutoka China freely?? Je hiyo siyo hatari zaidi??, kwasababu hivi sasa hakuna karantiini ya hao watu. Maandalizi yanayotakiwa sasa hivi ni kwanza karantiini kwa watu wanaotoka China halafu tiba kwa atakayegundulika na virusi kabla hawaja achiwa kuingia uraiani.

Ugonjwa tayari upo kenya, Ivory coast, na Ethiopia. BBC report.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom