Hali ya usalama kwa wanafunzi/ Watanzania waishio Wuhan nchini Uchina ipo matatani, waiomba Serikali iwarudishe nchini

Nimeikuta hii sehemu.
Screenshot_20200212-203013~2.jpeg


I moved your cheese!
 
Jiulizeni angekwama mtoto wa waziri au Rais wangejiuliza mara mbili kuwarudisha?! Poor Country...
 
Kwahiyo unatakaje? Wapi nimekulazimisha uamini ninachoamini mimi? We kama unajua kukumbusha sana lengo liwe nini? Huko china umeambiwa wageni ni watanzania tu! Umeshawahi kujiuliza nimataifa mangapi yametoa raia wake? Unadhani hayo yasiotoa raia wake hawana uwezo wakuwato? Au imekuuma lilivyo tumika andiko la dini usioipenda? Sasa wewe kama unajifanya unajua zaidi,wapelekee ndege basi

Sent using Jamii Forums mobile app
U have a serious problem! I refuse to take part in your meaningless and endless discussion.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ww mwenyewe ni mashahidi wa huduma za afya zilivo mbovu hapa majengo tu acha vifaaa tiba mengi ni kwa hisani ya mabeberu sasa leo ije corona si itatumaliza ..Mungu tu aturpushe na hao pia watzd wawe na huruma na sisi wasikilizie kwanza mpaka pakae sawa
Sikubaliani na mawazo haya huu utakuwa uzalendo wa kioga, uzalendo wa kuogopa matatizo ni upuuzi!

Inawezekana pakatengwa eneo maalum wakakaa hata mwezi wanachunguzwa ili tujiridhishe, haya mambo yanaweza tokea hata hapa kwetu hivyo unadhani hatustahiri kuwasaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warudishwe watengewe karantini ambapo watakua chini ya uangalizi kwa wiki 2 na zaidi,
Kuwaacha huko si sahihi. Matatizo hayakimbiwi.
Sasa wakirudi halafu watengwe si afadhari wabakie kulekule tu maana huku hatuna hata vifaa vya kupimia Corona. Afrika ni nchi sita tu ndizo zina vifaa vya kupimia.
 
Back
Top Bottom