Hali ya usafiri wa daladala hivi sasa inaniambia mambo mawili

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Baada ya kutangazwa level seat kutokana na kuepuka maambukizi ya corona, ungetegemea crisis kutokea kwa upande wa usafiri wa umma.

Sijui kwa wengine ila jana nilifanya utafiti kidogo nimeona abiria wamepungua sana, lakini biashara ya daladala inaendelea kama kawaida. Hii imeniambia mambo mawili:

Kwanza, inaonyesha biashara ya daladala inalipa sana. Hapo kabla tulikuwa tunarundikwa kama ng’ombe. Yaani basi lilikuwa tayari limejaa lakini litabaki kituoni kusubiri abiria wengine. Wengi tulidhani hawa jamaa hawatengenezi hela ya kutosha tukawa tunawavumilia, kumbe hata level seat, biashara wanaweza kufanya!

Pili, inaonyesha Watanzania wengi huwa hawana shughuli maalumu za kufanya. Sitawaita ni wazururaji ila imekuwa ni kawaida kuanzia asubuhi hadi usiku kwa usafiri wa umma kujaza abiria ila sasa hivi bila hata lockdown abiria wamepungua sana. Hii ina maana kuna watu wengi ambao shughuli zao huwa siyo za msingi sana au hawana shughuli maalumu, ndiyo hao wamepungua kipindi hiki.

Niko tayari kusikia wenye mitazamo tofauti.
 
Keynez,

Sidhani kama unasema kweli, hao jamaa wanapumulia mashine tu ni kwa vile hawana namna. Bei elekezi huwa zinazingatia idadi ya abiria wanaopata siti na kadhaa wa kusimama.

Pia kuna yale ma gap ya vituo hadi vituo ambayo ndio kwa sasa yanawabeba. Ila kwa wanaoenda route ndefu kwao ni mtihani kufikisha hesabu. Kwa vile mtu tu ameshawekeza basi pia kupaki gari haina maana sana wanakomaa hivyo hivyo tu.
 
Baada ya kutangazwa level seat kutokana na kuepuka maambukizi ya corona, ungetegemea crisis kutokea kwa upande wa usafiri wa umma.

Sijui kwa wengine ila jana nilifanya utafiti kidogo nimeona abiria wamepungua sana, lakini biashara ya daladala inaendelea kama kawaida. Hii imeniambia mambo mawili:

Kwanza, inaonyesha biashara ya daladala inalipa sana. Hapo kabla tulikuwa tunarundikwa kama ng’ombe. Yaani basi lilikuwa tayari limejaa lakini litabaki kituoni kusubiri abiria wengine. Wengi tulidhani hawa jamaa hawatengenezi hela ya kutosha tukawa tunawavumilia, kumbe hata level seat, biashara wanaweza kufanya!

Pili, inaonyesha Watanzania wengi huwa hawana shughuli maalumu za kufanya. Sitawaita ni wazururaji ila imekuwa ni kawaida kuanzia asubuhi hadi usiku kwa usafiri wa umma kujaza abiria ila sasa hivi bila hata lockdown abiria wamepungua sana. Hii ina maana kuna watu wengi ambao shughuli zao huwa siyo za msingi sana au hawana shughuli maalumu, ndiyo hao wamepungua kipindi hiki.

Niko tayari kusikia wenye mitazamo tofauti.
Look like you have no idea na hizi biashara.
 
Maeneo yapi uliyofanya research ukagundua kuwa abiria wamepungua? Sasa hivi abiria wanatembea zaidi ya kituo kimoja nyuma ili kwenda kugeuza na magari. Magari yakienda stend linachukua abiria mmoja au likapita bila hata kuchukua abiria yeyote yule kwavile tayari lipo level seat. Embu tuambia ni wapi huko umeona abiria hakuna hasa mida ya asubuhi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kutangazwa level seat kutokana na kuepuka maambukizi ya corona, ungetegemea crisis kutokea kwa upande wa usafiri wa umma.

Sijui kwa wengine ila jana nilifanya utafiti kidogo nimeona abiria wamepungua sana, lakini biashara ya daladala inaendelea kama kawaida. Hii imeniambia mambo mawili:

Kwanza, inaonyesha biashara ya daladala inalipa sana. Hapo kabla tulikuwa tunarundikwa kama ng’ombe. Yaani basi lilikuwa tayari limejaa lakini litabaki kituoni kusubiri abiria wengine. Wengi tulidhani hawa jamaa hawatengenezi hela ya kutosha tukawa tunawavumilia, kumbe hata level seat, biashara wanaweza kufanya!

Pili, inaonyesha Watanzania wengi huwa hawana shughuli maalumu za kufanya. Sitawaita ni wazururaji ila imekuwa ni kawaida kuanzia asubuhi hadi usiku kwa usafiri wa umma kujaza abiria ila sasa hivi bila hata lockdown abiria wamepungua sana. Hii ina maana kuna watu wengi ambao shughuli zao huwa siyo za msingi sana au hawana shughuli maalumu, ndiyo hao wamepungua kipindi hiki.

Niko tayari kusikia wenye mitazamo tofauti.
Ninatarajia hali hii itaendelea hata pale tatizo la corona litakapokwisha. Wamiliki wengi walikuwa wanajali kiwango cha pesa walichokuwa wanapata bila ya kujali operational costs.
Kwanza hizi daladala karibu zote zilikuwa zinakiuka agizo la leseni zao kuhusu idadi ya abiria wanaoruhusiwa kwenye gari. Hata hivyo kuna faida zifuatazo;
1. Mafuta pungufu kutokana na load factor;
2. Tairi za gari kudumu zaidi kutokana na load factor
3. Turn round inakuwa ya upesi zaidi
4. Engine inadumu zaidi kutokana na upungufu wa 'torque' kutokana na mzigo
kupungua.
 
Mkuuu qatu wamepungua coz shule zimefungwa mkuu...
Na uthibisho na hili siku zote shule zikifungwa hali ya usafiri inakuana unafuu...

Shule zitapofunguliwa laSma pachimbike na hyo level seat....

Kuhusu daladala kulipa hailipi wala nini ni sawa na wewe ushalipia fremu miezi sita unefungua duka wateja hakuna na huna namna ya kufunga ukafungue kwingine inakubd kishingo upande tu kufungua kiduka chako kusubiria mkataba uishe...

Sa ndio sawa na hao daladala hawana namna wapaki wafugie kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hasa wanawake wanapenda sana kuzurura na wengi wanapenda kusindikizana hasa maeneo ya kariakoo, mwenge etc... Hii inatokana na tabia ya wao kupenda Sana kuzuzura madukani kuangalia tu bidhaa pasipo kununua au kununua kitu ambacho Si lazima aende... Hao ndio wako wengi Sana. Fanya tathimini maeneo ya kariakoo utaona hiki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom