Hali ya Ulemavu Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,482
9,242
Hali ya Ulemavu Tanzania ni 6.8% ikiwa ni 5.7% kwa Wanaume na 7.8% kwa Wanawake)kwa Tanzania Bara na 3.2% (3.3% kwa Wanaume na 4.1% kwa Wanawake) kwa Zanzibar.

Viwango vya Ulemavu ni vya juu zaidi katika maeneo ya Vijijini kuliko Mijini. Watu wenye Ulemavu Nchini Tanzania ni miongoni mwa makundi Masikini zaidi na yaliyotengwa na jamii.

Bila kujali wanaishi wapi na hali zao za Kijinsia, Watu wenye Ulemavu wana uwezekano mkubwa wa kukosa Ajira, kutokujua Kusoma na Kuandika, kukosa Elimu rasmi na kuwa na uwezo mdogo wa kupata mitandao ya usaidizi na mitaji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom