Hali ya uchumi yazidi kuwa ngumu, kampuni ya meli kupunguza wafanyakazi 30 kati ya 80

Ndio maana CCM hawataki katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi..
 
mkuu wewe hujapunza wako?
Kama ningekuwa nafanya local business nisingepunguza tu bali ningefunga kabisa kiwanda , lakini ni kwa vile nafanya biashara ya kimataifa .

Hatari kwangu ni kama Tanzania itawekewa vikwazo vya uchumi kama tunavyotarajia .
 
Back
Top Bottom