Hali ya Uchumi mnaionaje ndungu zangu Watanzania? Nini kinafanya kuwepo hali hii ngumu na nini kifanyike?

ba4

Member
May 20, 2021
55
48
Niko Moja mkoa maarufu kwa mazao ya korosho na mengineyo.

Hali ya uchumi imekuwa ndivyo sivyo, me ndugu zangu nini kinachofanya kuwa na hali ngumu?
 
TANZANIA tunadanganyana sana, mtu ni jambazi, anatoa makafara ya damu za watu, wengine ndio mijizi kule hazina, halafu inatuzuga eti imekunywa maji ya upako na kujipaka mafuta ya Mwamposa.
 
TANZANIA tunadanganyana sana, mtu Ni jambazi, anatoa makafara ya damu za watu, wengine ndio mijizi kule hazina, halafu inatuzuga eti imekunywa maji ya upako na kujipaka mafuta ya Mwamposa
Mwendazake alituacha kwenye uchumi wakati ila akufafanua uenda ndo madhara ya uchumi wakati hayo.......
 
Niko Moja mkoa maarufu Kwa mazao ya korosho na mengineyo,Hali ya uchumi imekuwa ndivyo sivyo me ndugu zangu nini kinachofanya kuwa na Hali ngumu?
Hapo ulipo kilo ya korosho iliyokaushwa inauzwa shi ngapi?
Hebu nijibu. Twaweza kufanya ktu ili kujikwamua.
 
Back
Top Bottom