Hali ya Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa anaweza kula mwenyewe

justin mwanshinga

Senior Member
May 22, 2014
179
619
Mungu ni mwema sana
80f7763f261f373f62eb380ef2e82d98.jpg


Hali ya Mbunge , Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia Raisi wa TLS Mheshimiwa Tundu Lissu imeendelea kuimarika...na sasa anaweza kula mwenyewe... Hakika Mungu Mwema sana tuendelee kumwombea Mungu azidi kumpa nguvu zaidi
View attachment 620681
 
Daah! Victory ascerta...
Ila kapungua, au ni picha?
Mungu amuimarishe zaidi...
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom