Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Mheshimiwa Waziri anatia mada hiyo sasa hivi Bungeni na anasema sababu kubwa ni wachonganishi.
 
naona anatia security details, jambo la hatari sana
 
anasema yuko tayari kujiuzulu uwaziri kama wenje ataleta ushahidi
 
Hivi Wenje kasema nini, Membe anamlaumu kwa kuitetea Rwanda.. kama kweli kafanya hivo kakosea sana
 
inafikiaje hadi majirani wanakosana, ukiangalia ramani ya dunia utaona nchi zilivoungana, afu ukirudi kuangalia ramani ya africa utaona vilivojitenga afu vinasumbuana daily huku hela havina...
 
Atasemaje ni wachonganishi wanasababisha mgogoro kati ya Tz na Rwanda na wakati hapo hapo anasisitizia kuwa Rwanda wanawaunga mkono m23?

Je sisi hatumuungi mkono Kabila? Na pia nasikia FDLR? Sasa uchonganishi unatoka wapi hapo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom