Hali ya tanzania inaelekea wapi na kupanda kwa nishati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya tanzania inaelekea wapi na kupanda kwa nishati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Livanga, Jan 14, 2011.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana kuhusu mstakabali wa hali ya watanzania kwa sasa kutokana na mfumuko wa bei ya vitu kama vile umeme Gas na mafuta kwa ujumla vitu vinavyohusika mojamoja kwa moja na nishati vitu ambavyo mara nyingi vikipanda bei kila kitu hupanda.

  Mimi ninaamini tanzania ninazalisha gas nyingi sana kiasi kwamba ingeweza kusambazwa kila nyumba kama ilivyo katika nchi za wenzetu, ila swali langu ni kwamba gas iyo inaishia wapi? je serikali nu mafisadi wanaiuza kinyelea bila wananchi kujua.

  Kwanini vitu hivi vyote vipande bei especially umeme na gas. Mimi ninahisi kuna massive sale ya solar system inataka kuingizwa kwenye soko na fisadi mmojawapo kati ya waliopo coz siku zote ili mtu akubali kipya lazima ateseke na cha zamani and this may be what is all about all these price flactuation.


  WAtanzania wenzangu wenzangu mtakuja kuniambia siku moja kama niko sawa au lah. Je nyinyi mna mawazo gani juu ya bei ya vitu hivi kupanda?
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu when new bigining is approaching lazima kuwa na ending of something. Mwisho wa ufisadi ulioasisiwa na akina mwinyi, mgumia pale walipouza Loriondo unakaribia. Ndiyo maana unaonaona mazingira ya frustration kubwa namna hii. It is like a lessons Tanzanians are learning, ili mwanzo mpya utakapoanza wawe wanafahamu na kuelewa nini maana yake na waitetee na kuipigania kwa namna gani.
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kila utawala mpya unapokuja lazima bei za vitu zipande acheni kulalamika.
   
 4. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  hiyo sio sababu kama wewe ni mfuatiliaji mzuri na msikiliza wa viongozi wanapoongea Kikwete alisema mkinipa miaka 5 umeme utakuwa historia na siku ya kumpongeza ngeleja kwa kuchaguliwa alituambia ivyoivyo kwamba hakuna tatizo la umeme tena. usiseme kila uongozi mpya ukija lazima kuwe na inflation. Mbona nchi nyingine uongozi ukiwa mpya vitu havipandi au tangu lini umeona umeme ukipanda tanzania unashuka. tangu lini umeona gas imefikia kiasi hiki cha sasa.
   
 5. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bado utaambiwa inflation ni 6% ?
   
 6. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tegemea misitu mingi kupukutika kwa sababu ya uchomaji mkaa. Pia bei ya mkaa haitashikika. mwisho wa siku uharibufu wa mazingira na umasikini wa kutisha
   
 7. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kuchoma misitu ishakuwa ishu kaka upiti kokote bila kibali maalum na wale wachoma mikaa wanasema bei ya kibali icho inawafanya wakate tamaa ya kuendelea na kazi iyo. maisha ya watanzania wa hali ya chini yataendelea kuwa magumu sana kadri siku zinavyozidi kwenda. kumbuka serikali ilishauza kila kitu sasaivi pato lake linatokana na kodi.
   
 8. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ni kituko na masikitiko makubwa
  sielewi kabisa hivi tuna viongozi au?
  hii system inayoendesha nchi kweli,adi tuchapane mayb tutazinduka akili
  unakosa ata hamu ya kuishi bongo!!
  gas ni kituko kingine cha ajabu.....
   
 9. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mmh! Can you explain why? Tusiishi kwa mazoea ni vizuri tu-analyse mambo. Inawezekana solution ipo ni kwamba hatujishughulishi
  "If you aim at nothing you will hit it everytime"- Archery Principle.
   
 10. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Ndio nguvu zaidi ari zaidi na bei kupanda zaidi mpaka mkome
   
 11. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe unaishi wapi ?
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 13. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hii kweli...Mi ndo namuomba Mungu hali iwe ngumu zaidi ili tutie akili....ha ha haaa jk baba piga usingizi mwanawane!(WATANZANIA BWANA,HATUCHUKUI HATUA tukotuko tu kama mazuzu!)
   
Loading...