Huku nilipo tangu mama aingie umeme umetulia kabsa yaaani leo imepiga mvua kubwa ila umeme umekatka nusu saa tu na sio kawaida ingekuwa enzi za mwendazake ni siku mbili ndio ungerudiMwanza kuna mgao wa Umeme wa hatari, yaani imefika hatua ukienda kwa kinyozi inabidi uende na kofia maana haifahamiki TANESCO watakata Umeme muda gani!
Hapa ninapoandika Umeme umekatika tangu saa moja asubuhi!
Kabla ya kifo cha Mzee mbona Ujinga huu ulikuwa hakuna?
Mabadiliko makubwa kabisa na ya kwanza ambayo ni makuu ni uhuru, furaha na amani ndani ya mioyo ya watanzania.Mwezi mmoja baada ya JPM kututoka nini kimebadilika katika nchi?
Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?
Unaionaje nchi bila yeye?
Mwanza kuna mgao wa Umeme wa hatari, yaani imefika hatua ukienda kwa kinyozi inabidi uende na kofia maana haifahamiki TANESCO watakata Umeme muda gani!
Hapa ninapoandika Umeme umekatika tangu saa moja asubuhi!
Kabla ya kifo cha Mzee mbona Ujinga huu ulikuwa hakuna?
Kwa sasa we are free as birds. Watu kutekwa, vifo vya utata na wasiojulikana wamepotea.Mwezi mmoja baada ya JPM kututoka nini kimebadilika katika nchi?
Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?
Unaionaje nchi bila yeye?
Very happy yaaniNina furaha.
Siku hizi hata nikilala njaa haiumi sana. Uso wangu umenawiri kwa furaha na amani