Hali ya soko la mazo Ilala inatisha.

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
500
Wanajamvi napenda kuwasilisha hali ya iliyopo ktk soko la mazao pale ilala haswa kipindi hiki cha masika. Kwa kweli pale mchicha unapouziwa ni kama bomu la maradhi mbalimbali linatengenezewa pale. Nimejaribu kujiuliuza kazi ya mabwana afya wa wilaya, kata na manispaa ile ni ipi? Nashauri waangalie njia mbadala wa uzwaji wa baadhi ya mazao pale sokoni au waboreshewe soko liwe safi na lenye mazingira mazuri. Nawasilisha kwenu kero hii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom