BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nimefika benki leo ndugu zangu nilizoea tarehe kama hizi ningekuta msururu. Ajabu ni kuwa nimekuta peupe unachagua teller gani akuhudumie.
Hakuna cha wanapokea mishahara, wahasibu kuweka au kutoa cash, marejesho, vikoba, tigo/Mpesa etc pote peupe mteja nilikuwa peke yangu! Tutegemee wafanyakazi kupunguzwa kila kona.
Kipindi hiki ni cha kupitishwa kwenye bonde la uvuli wa mauti malaika wamekuwa mashetani. Wote tulikuwa wapiga dili sasa hivi tunaunga unga tu!