Hali ya mvua nchini: Pongezi wakuu wa dini na waumini sala zenu zimefika

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
4,017
3,655
Kulingana na habari kutoka vyanzo mbalimbali,sehemu kubwa ya nchi ina mvua. Mvua huletwa kwa uweza wa Mungu!

Tumeweka mikesha na mikusanyiko ya kidini kwa kuongozwa na viongozi wetu kuomba mvua inyeshe. Mungu ametusikia na kutuhurumia,mvua hiyooo!tuitumie kikamilifu. Mungu ni Mwema
 
Mh!
Tangia napata Akili mpaka leo najua miezi hii Muda wowote hadi karibia na April ndio Muda wowote kuna masika hizo credit nyingine zimekaa kikikikiki hamkawii kutuambia Mvua hizi ni kwa hisani ya Ofisi ya Magogoni.
 
Haaa, hao viongozi wa Dini nao wanatuchanganya, maana wengine wanaombea mvua, Mzee wa Upako yeye yuko buzy kuombea mvua isinyeshe ili barabara inayoenda Kanisani kwake iwekwe lami
 
Mh!
Tangia napata Akili mpaka leo najua miezi hii Muda wowote hadi karibia na April ndio Muda wowote kuna masika hizo credit nyingine zimekaa kikikikiki hamkawii kutuambia Mvua hizi ni kwa hisani ya Ofisi ya Magogoni.
Pitia taarifa za karibuni za Idara ya hali ya hewa nchini,linganisha na hali halisi sasa. Utagundua Mungu ana Uwezo wa kubadili mambo,hasa ukimwomba kwa dhati! Mungu ni Mwema. Tuzidi kumtumainia kwa mambo yote!
 
Jiongeze wewe Mshukuru mungu acha maneno mengi
 
Point! Ivi mashariki ya Kati ambapo mvua huwa inanyesha mara moja baada ya miaka 5 huwa hawasali?
 
Chadema inawauma Sana mvua kunyesha,
Wanataka mvua isinyeshe ili wapate porojo ya kuongea majukwaani.

Shame on you wauza ngada
 
Inaonesha umekitumikia sana chama kwa kukatika mayenu kwenye mikutano ya kampeni, halafu wamekusahau na sasa unawehuka. Na bado
 
Habari za Mungu pamoja na yeye zilifika Africa around miaka 160 iliyopita...... Je kabla ya hapo mvua ililetwa na nani?
 
Siku hizi, ukiweka uzi unaoashiria mafanikio,wachangiaje huwa wachache . Nilitarajia michango mingi ya KUMSHUKURU na KUMSIFU MUNGU, kwa kutushushia neema. Tena leo kwa baadhi yetu ni siku ya ibada.
 
Pitia taarifa za karibuni za Idara ya hali ya hewa nchini,linganisha na hali halisi sasa. Utagundua Mungu ana Uwezo wa kubadili mambo,hasa ukimwomba kwa dhati! Mungu ni Mwema. Tuzidi kumtumainia kwa mambo yote!
Sina neno kwenye kushukuru Upendeleo wa Mungu kwangu na wengine.
Ila, Miaka yote hii ndio miezi ya Mvua miaka na miaka.
 
Jiongeze wewe Mshukuru mungu acha maneno mengi
Nashukuru Bila hata kushauriwa.
Ila, Haya nambo mengine hata Mungu atatushangaa tukijifanya kuyashangaa.
Jamani, Hivi ni kweli hujui kuwa huu ni Msimu wa Masika? C-mon.
 
Sina neno kwenye kushukuru Upendeleo wa Mungu kwangu na wengine.
Ila, Miaka yote hii ndio miezi ya Mvua miaka na miaka.
Misimu ya kuanza mvua kikanda hapa nchini,inafahamika. Baadhi ya kanda kama Lake zone,mazao yaliyopandwa yalikauka . Wameanza kulima tena nje ya muda uliozoeleka na baada ya mvua kunyesha baada ya MAOMBI kufanyika. Ukienda kule, wakulima na hata wafugaji neno wanalotamka sasa baada ya mvua kurudi ni "ASANTE MUNGU" na siyo vinginevyo.
 
Jina la Bwana litukuzwe, milele na mile amina, shukrani kwa Mzee ngalalekumtwa kwa kushinda hofu waliokuwa nayo wengi na kuvunja ukimya, umetuongoza vyema kumlilia Mwenyezi alie na sikio jepesi kutusikia daima na kutuhurumia viumbe vyake.
 
Back
Top Bottom