Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 672
wakuu ni muda mrefu tokea tupate habari kuwa mheshimiwa ADam Mwakanjuki ambaye ni waziri wa mawasiliano na UChukuzi ktk serikali ya Zanzibar na miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini kwetu kupata maradhi ya baridi hatujapata kujua au kuelezwa hali yake inaendeleaje?
nnaomba wale wenye kujua hali yake inaendeleaje na yuko wapi kwa sasa watuhabarishe
maana katika kipindi hiki kigumu inayopita zanzibar tungesikia sauti yake na kwa hakika mchango wake unahitajika sana