Hali ya Mbunge Godbless Lema yazidi kudhoofika huko Mahabusu

respect wa boda

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
4,557
3,835
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Afya ya Mbunge wa Arusha , GODBLESS LEMA anayeshikiliwa na Polisi Mkoani Arusha ni mbaya baada ya kususia kula akiwa Mahabusu tangu alipokamatwa juzi asubuhi .

Source Itv

My take.
Hatua za makusudi zinatakiwa kuchukuliwa. Mahakama na Police wasimame kwenye Sheria. Lema anajulikana Duniani kote kuwa ni Mbunge na Mjumbe wa KK Chadema, Chama ambacho ni kikuu cha Upinzani Tanzania. Kosa gani la kumnyima Dhamana???

Wakati hayo yakiendelea tunaomba Viongozi wa Chama waendelee kumshawishi Lema ili apate kula kwani akiendelea na Mgomo na Police wakandelea na msimamo wao, Sote tunajua matokeo ni yapi na nani ataweka Sherehe.

BACK TANGANYIKA
 
Nchi inakoenda siko kuzuri,nchi nyingi za Afrika ziliingia kwenye civil war kwasababu za kunyanyasana sisi kwa sisi lakini ujinga wetu baadae huwa tunasema "wazungu wanatugombanisha ili wapole Mali zetu"
Sisi wa afrika huwa hatupo tayari kukubaliana kwa maswala mepesi tu hatimaye tunaingia kwenye janga kubwa sana.
Piga picha kama Lema atafariki huko maabusu je raia wa Arusha wata react vipi? Sio ndomwanzo wa
Machafuko hapo?
Watawala wawe na busara wakati wanatawala.
 
bado hakuna mahusiano mazuri kati ya polis na raia hasa viongozi wa upinzani. hali hii ni mbaya yapaswa kurekebishwa...
 
Wanalazimisha lionekane tatizo pahala ambapo hapana tatizo.

Hivi angekuwa anahangaika na wananchi kuwatafutia maji ya kunywa yeye kila siku shari tu.

Naona anahamu ya kuvunja rekodi ya kufunga kula ya Yesu.
Mahabusu hateswi mtu anakaa tu, mwacheni akisikia njaa atakula
 
mm hapo moja kwa moja lawama zangu nampelekea rais makufuli kwasababu yeye ndio anawapa polisi kiburi cha kuwanyanyasa viongozi wa upinzani.
na ninamuona raisi ni kama mtu mbaya sana na haitakii mema tanzania.
na sisi lema akifa tutajua wao ndio wamemua sio amekufa kwa njaa.
 
Tuliza boli dada,

Mshono utapasuka huo... Unaujanja wa kumjua Lema wewe? Unataka kujifanya wewe ndo mwenye akili ktk ukoo wenu mpaka umjue Lema?

We kaa kimya, tuache tunaomjua tushauri hapa.

BACK TANGANYIKA
Lema ameifanyia nini nchi hii zaidi ya kuitia hasara kwa kuiba magari? Anavuna alichopanda laana ya kuiba magari inamtufuna
 
Nchi inakoenda siko kuzuri,nchi nyingi za Afrika ziliingia kwenye civil war kwasababu za kunyanyasana sisi kwa sisi lakini ujinga wetu baadae huwa tunasema "wazungu wanatugombanisha ili wapole Mali zetu"
Sisi wa afrika huwa hatupo tayari kukubaliana kwa maswala mepesi tu hatimaye tunaingia kwenye janga kubwa sana.
Piga picha kama Lema atafariki huko maabusu je raia wa Arusha wata react vipi? Sio ndomwanzo wa
Machafuko hapo?
Watawala wawe na busara wakati wanatawala.
Ngoja tuwapigie simu walioko kwenye jubilei huenda wakalegeza
 
Hakukuwa na Umuhimu wa kumnyima dhamana kwa kuwa hakutakuwa na ukuta wala Mtaro. Wamuache tu Lema pamoja Salum
 
NAKUTO KULA NAKO LAWAM KWA RAIS HAAAAAAAAA HAAAAAAA TUACHE UTANI BWAN NJAA IKIMUMA ATAKULA TUU WAMPE MUDA
naona unefurahi sana kwasababu hilo tatizo halipi wako au kwasababu umeona lema sio ccm.
lakini maisha jinsi yalivyo huwezu kulia siku zote na wala huwezi kurahi maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom