comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,222
- 5,946
Serikali ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli imejitahidi sana kurekebisha mapungufu ya awamu zilizotangulia na kushughulikia yale yaliyobainishwa na wapinzani.
Tumeona uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu, urekebishaji wa utoaji wa huduma kutoka kwa watumishi wa umma na mengine mengi.
Kwa mtazamo wa awamu ya 5 uchumi umekua, uwekezaji umefanyika ila kinachoonekana dhahiri ni ugumu wa maisha.
Hili la ugumu wa maisha linapewa majibu rahisi "mlizoea dili". Tungekuwa na upinzani makini lingekuwa mwiba kwa Rais Magufuli na CCM mpya 2020.