Hali ya maisha ikoje mahali uliko?

Yani wananchi tuna hali ngumu sana msije mkaja kushangaa watu watakapoamua kujinyonga ili kupumzika na hali hii tuliyoletewa na huyu kiongozi wa kutisha
 
Bei ya nyanya imeathiriwa na hali ya hewa kwa kiasi kikubwa, lakini pia Bei za vyakula kwa msimu huu kikawaida huwa inapanda mpaka wakati Wa mavuno.
Bei ya vitu vya viwandani kama mabati, simenti, n.k ina sababu nyingi za kupanda ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uzalishaji utaokanao na sababu mbalimbali.
Bei ya gas na petrol hiyo inaratibiwa na huko yatokako
Tuendelee kupambana tu maisha hayashuki yanazidi kupanda siku hadi siku.

Sent using Jamii Forums mobile app



Hizo sababu mbalimbali za kupandisha bei ya bidhaa kutoka viwandani ni zipi?
 
Bei ya maharage ilikaa sana Sh 500-700 Kg leo hii bei ni 2500. Ongezeko x 4 zaidi. Ingawa mishahara na mapato ya wa watu yameganda vile vile kwa miaka 5 sasa na zaidi kodi ikiwemo Loarn Board imeongezeka toka 8% - 15% kwa mshahara ule ule.
Nakumbuka sukari mzee wetu Kikwete aliiwacha ikiwa ni sh 1800-leo hii ni 2800+ Los técnicos,

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu tumebanwa kila pembe alafu wachache wanao faidi keki ya taifa wanatuona kama vinyago
Bei ya maharage ilikaa sana Sh 500-700 Kg leo hii bei ni 2500. Ongezeko x 4 zaidi. Ingawa mishahara na mapato ya wa watu yameganda vile vile kwa miaka 5 sasa na zaidi kodi ikiwemo Loarn Board imeongezeka toka 8% - 15% kwa mshahara ule ule.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Kuna bi mkubwa hapa mtaani anapika vitumbua vizuri sana, alikua anauza 200 ila juzi kapandisha bei hadi 300

Nilikua napata vitumbua vitano kwa buku, mimi nakula viwili, wife viwili na dogo anakula kimoja maisha yanaenda. Ila kwa sasa buku napata vitumbua vitatu nimeamua mimi niachane na breakfast nimuachie wife na dogo.
 
Leo Hapa Kigamboni Tunafungua Majengo Ya Wilaya
Sasa Yule Mwekezaji Anayewazuia Wananchi Kupita Eti Amefunga Njia Afungue Haraka. Naweza Kufuta Hati Ya Ardhi Anayomiliki Halafu Tuone

Halafu Anazuia Mpaka Watu Kupita Kwenda Kuzika, Ajue Naye Atakufa Atazikwa Humo Humo
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania


😅😄😃🤣😂😁
Ahsante kwa kibwagizo,The Guy is mocking & joking always,when will ever be serious?
Too low for The President.
 
Hii inaitwa mbuzi kafungwa kwenye Chuma cha reli sio kama kapenda kupiga mihayo bali hana jinsi
 
Back
Top Bottom