Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,495
- 9,275
Hali ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI bado ni tishio, takwimu zinaonesha kuwa watu takribani 72,000 hupata maambukizi mapya hapa Tanzania kwa mwaka hii ni sawa na wastani wa watu 6000 kwa mwezi ukienda zaidi watu 200 kwa siku au watu 8 kwa kila saa.