Hali ya kisiasa Zanzibar katika serikali ya umoja wa kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya kisiasa Zanzibar katika serikali ya umoja wa kitaifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Sep 25, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mahojiano kati ya Sudi mnnet na Makama wa kwanza wa Rais wa Zanzibar MhMaalim Seif shariff Bonyeza chini

  AUDIO | DW.DE

  [h=1][/h] Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Maalim Seif Sharif amesema vurugu zilizotokea kwenye uchaguzi mdogo wa Bububu zilisababishwa na vikosi vya ulinzi na usalama visiwani humo na hivyo kumtaka Rais Dk. Shein kuchukua hatua.
  Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Sharif Hamad

  Kwa njia ya simu Sudi Mnette kwanza alizungumza na maalim Seif na kumuuliza kwa nini ametoa kauli hiyo akiwa yeye ni makamu wa rais wa Zanzibar na baadaye alizungumza na Msemaji wa chama hicho Salum Bimani na akamuuliza kwa nini kiongozi huyo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa azungumze suala hilo katika mkutano wa hadhara wakati yeye ni kiongozi wa serikali.
  (Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
  Mwandishi: Sudi Mnette
  Mhariri: Saumu Yusuf
  [h=4][/h]Bonyeza mahojiano kati ya Sudi Mnettee na Mh salim Bimani Bonyeza Chini
  AUDIO | DW.DE
  [h=2]Sikiliza mazungumzo kati ya Sudi Mnette na Maalim Seif Sharif Hamad[/h]
  [h=2]Sikiliza mazungumzo kati ya Sudi Mnette na Salim Bimani[/h]
   
Loading...