Hali ya kisiasa ilivyo sasa hivi, CCM Vs Upinzani ni kama Yanga SC Vs Simba SC! Wabunge kama wachezaji

Je hao walohama CCM na kwenda CHADEMA ni kwa MASLAHI YA NANI?
Wote wanaohama ni kwa maslahi yao binafsi, nani aliyetafuta uongozi halafu akarudi kwa wananchi akakaa nao na kujadiliana kwa hoja juu ya maendeleo yao? Sanasana ni walinzi wengi ambao hawawapi ruhusa ya kusogelewa na waliompigia kura. Kwa ujumla wote ni wachumia matumbo yao na watu wao wa karibu
 
Back
Top Bottom