Hali ya Kipato kwa Warusi yazidi kupungua. Asilimia 7 tu ndiyo wana kipato cha kati

Mambo mengine kama hujui unakaa kimia kuliko kujifanya unajua alafu ukaonekana kama kituko mbele za watu.
G8 na mambo ya kijeshi wapi na wapi ?
Ndio 2elewe hapa kuna wa2 wala sio wakubishana nao kwanza hawana hoja pili wanaongea mambo wasio yajua alimuradi 2 wameongea
 
Nguvu zake za kijeshi ndio zilimuweka hapo juu and not otherwise. Kuna nchi nyingi ximemzidi Russia Kwa utajiri km Brazil ,China na India lakini hazipo kwenye G8
Kwan ģ8 ipo kwa ajili ya UCHUMI mkubwa

Duuh
 
Tofautisha nchi yenye uchumi mkubwa na taifa liloendelea kiviwanda .
Nikupe mfano katika eneo la mashariki ya kati, taifa lenye uchumi mkubwa ni saudia arabia lakini haina nguvu za kiviwanda kama Iran na Israel.
Kwa hiyo G8 ni mataifa yaliyo endelea kiviwanda na Si yenye uchumi mkubwa.
Bado 2nasafari ndefu sana mkuu
 
Mi navyojua katika sekta ya viwanda ni Marekani na Urusi ndo wenye sekta iyo ya viwanda.warusi wana viwanda vya kila kitu kwao.yani takataka za kila aina zinatengenezwa Urusi
Not sure na siwezi pia kubisha katika hili cause sina uhakika but may be the question is; kwanini wametolewa kwenye vile vikao vya fitina vinavyo panga namna ya ku run dunia, yaani G 8?
 
Pumba ina maana kua na stock ya silaha ni kigezo cha kuingia kwenye G8

Una elewa malengo na muundo wa G8

Wabongo 2nakwamia wapi sijui
Kwa Russia hakuna kigezo zaidi ya hicho cha silaha. Hao members wa G8 waliona ili kulinda usalama wao ni muhimu kumuingiza adui yao Russia!
 
Watanzania ni watu wagumi sana kuelewa.katika nchi iliyoendelea kiviwanda uwezi ukaiyacha Urusi ndugu hata siku moja.yani utatowa nchi zote hapo ila sio Urusi
Nimejaribu kuelewa kwanini waliingia kwenye G 8, sijasoma sehemu bali nilisikia mwenyewe Enzi hizo baada ya USSR kuvunjika. Kuhusu idadi ya viwanda walivyo navyo, sina hakika kabisa na wala siwezi kubishana na mtu yeyote kuhusu hili cause sina DATA but swali ni hili, kwanini sasa hivi Urusi sio member wa G 8 meetings!?
 
Pumba ina maana kua na stock ya silaha ni kigezo cha kuingia kwenye G8

Una elewa malengo na muundo wa G8

Wabongo 2nakwamia wapi sijui
Kwa Russia hakuna kigezo zaidi ya hicho cha silaha. Hao members wa G8 waliona ili kulinda usalama wao ni muhimu kumuingiza adui yao Russia!
 
Kwa Russia hakuna kigezo zaidi ya hicho cha silaha. Hao members wa G8 waliona ili kulinda usalama wao ni muhimu kumuingiza adui yao Russia!
Kwanza nambie awali ya yote walitumia ama wanatumia kigezo gani chakua mwanachama na wanatumia kigezo gani cha kukuvua uana chama na kwa nn wanakuvua uanachama
 
Nimejaribu kuelewa kwanini waliingia kwenye G 8, sijasoma sehemu bali nilisikia mwenyewe Enzi hizo baada ya USSR kuvunjika. Kuhusu idadi ya viwanda walivyo navyo, sina hakika kabisa na wala siwezi kubishana na mtu yeyote kuhusu hili cause sina DATA but swali ni hili, kwanini sasa hivi Urusi sio member wa G 8 meetings!?
Walimtoa mwaka 2014 baada ya kunyakuwa jimbo la crimea kinguvu na pia kuwasaidia waasi wa ukraine kwenye majimbo ya donesk na luhansk
 
Nimejaribu kuelewa kwanini waliingia kwenye G 8, sijasoma sehemu bali nilisikia mwenyewe Enzi hizo baada ya USSR kuvunjika. Kuhusu idadi ya viwanda walivyo navyo, sina hakika kabisa na wala siwezi kubishana na mtu yeyote kuhusu hili cause sina DATA but swali ni hili, kwanini sasa hivi Urusi sio member wa G 8 meetings!?
Mkuu iyyo USSR wala haijawai kuwepo kwenye G8.G8 imeanzishwa mwaka 1997 ila kabla ya hapo ilikuwepo G7 yani (France, UK, Canada, Itary, USA, Germany, Japan) ambayo nayo ilianzishwa mwaka 1975 kabda ya hapo ilikuwa G6(France, USA, UK, Japan, Itary na Germany)
 
Unaifahamu urusi au unaongea tu?warusi wamechoka, nguvu kubwa urusi wameweka kwenye ulinzi tu sio ustawi wa jamii. Nenda nchi za ulaya ukawaone warusi walivyojazana maana kwao hakukaliki,kitu ambacho huwezi kukiona kwa wa marekani.
Sasa hivi wamejazana kwenye mameli,mshahara hadi wa $1000 wanabeba,jamaa wana njaa hatari
 
Mimi nachojua wamarekani milioni 40 ni masikini hoehoe na wanaishi kwa msaada wa kupewa chakula,,kuna wanaolala kwenye mabox,ubavuni mwa maduka,kwenye magari etc,
as kwa Russia sijapata kuona kuna warusi wanaishi kwa msaada wa chakula cha serikali hata watano,
sijapata kuona watu wakilala kwenye mabox huko Russia,
so hapa maana ya masikini sijui ni ipi hasa
Sera za urusi kama za nchi za kiafrika,mambo mabaya wanayaficha,binafsi kuna kipindi nilipita mji wao mmoja unaitwa novoroskisky,niliiona sehemu hiyo wanayokaa magyspy,nyumba za nylon na mabox,huo uchafu sasa!
 
Sasa hivi wamejazana kwenye mameli,mshahara hadi wa $1000 wanabeba,jamaa wana njaa hatari
Urusi njaa hakuna ndugu, na wala uwezi kusikia wanazunguka kutafuta ajira.

Mwaka huu employment rate(watu walioajiriwa) nchini Urusi ni asilimia 60, wakati Marekani napo ni asilimia 61.inamaana tofauti ni asilimia 1 tu.
Wakati Tanzania ni asilimia 10 tu ndo wana ajira.sasa hapo nani hana njaa ndugu.ulishawahi kusikia hata siku 1 warusi wanandamana kwa sababu ya maisha magumu au ajira hamna?
 
Tofautisha nchi yenye uchumi mkubwa na taifa liloendelea kiviwanda .
Nikupe mfano katika eneo la mashariki ya kati, taifa lenye uchumi mkubwa ni saudia arabia lakini haina nguvu za kiviwanda kama Iran na Israel.
Kwa hiyo G8 ni mataifa yaliyo endelea kiviwanda na Si yenye uchumi mkubwa.
Umemjibu vema!
 
Back
Top Bottom