Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
Ndio 2elewe hapa kuna wa2 wala sio wakubishana nao kwanza hawana hoja pili wanaongea mambo wasio yajua alimuradi 2 wameongeaMambo mengine kama hujui unakaa kimia kuliko kujifanya unajua alafu ukaonekana kama kituko mbele za watu.
G8 na mambo ya kijeshi wapi na wapi ?