enery
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 368
- 437
Ndugu yangu inatakiwa utumie akili mbadala kuzielewa nchi za kijamaa, unaweza hisi walioko katika system ndio wanfaidika kumbe laah hasha. Hizi nchi zinaendeshwa kwa usiri wa hali ya juu, na mara nyingi bajeti zao sio harisia wasomazo, waisomayo na wanayoitekeleza ni tofauti kabisaManchi ya kijamaa hua yapo hivyo viongozi wanatajirika ninyi akna kayumba mtakuwa masikini zaidi
NB,refer Tanzania ya 19980's