Hali ya Kipato kwa Warusi yazidi kupungua. Asilimia 7 tu ndiyo wana kipato cha kati

Manchi ya kijamaa hua yapo hivyo viongozi wanatajirika ninyi akna kayumba mtakuwa masikini zaidi
NB,refer Tanzania ya 19980's
Ndugu yangu inatakiwa utumie akili mbadala kuzielewa nchi za kijamaa, unaweza hisi walioko katika system ndio wanfaidika kumbe laah hasha. Hizi nchi zinaendeshwa kwa usiri wa hali ya juu, na mara nyingi bajeti zao sio harisia wasomazo, waisomayo na wanayoitekeleza ni tofauti kabisa
 
Moja na tofauti ya nchi ya kijamaa ni huduma za kijamii, Urusi huduma za kijamii nyingi ni bure. Matharani Tz huduma pia za bure zipo, waweza kwenda hospitali huna hela na ukatibiwa ukalipa badae, nenda kenya uone kama utapata huduma yyt bila hela, na hilo ndo tofauti kubwa kati ya Tz na nchi nyingine Afrika. Rwanda Uchumi mzuri wa nchi je maisha ya mwananchi mmoja mmoja yakoje, hali kadhalika kenya uchumi wa nchi mzuri na fedha ina thamani, turudi kwa mwananchi mmoja mmoja maisha yao yakoje, wengi walio na uwezo wako Nairobi huko kwingine Mungu anajua. Tz unajenga nyumba na Gypus unaweka tena ya tofari za block unalalamika bado? Unatakiwa ukatubu kanisani, kwa maisha yako ungekuwa Kenya ungekuw ombaomba. Nchi ina neema sana na wananchi tuna raha za kutosha, tufanye kazi kwa bidii
 
Unaifahamu urusi au unaongea tu?warusi wamechoka, nguvu kubwa urusi wameweka kwenye ulinzi tu sio ustawi wa jamii. Nenda nchi za ulaya ukawaone warusi walivyojazana maana kwao hakukaliki,kitu ambacho huwezi kukiona kwa wa marekani.
Sasa mbona hata US ameweka nguvu kubwa kwenye ulinzi kuliko kitu kingine? Mind you zaidi ya 75% ya US national budget inepelekwa kwenye wizara ya ulinzi.

Kingine warusi kusambaa sehemu mbali mbali nje ya nchi yao na wamarekani kutokutoka ndani ya Taifa lao haimaanishi kwamba warusi ndio wana maisha ya tabu sana wakati huo wamarekani hawana maisha ya tabu. Hili suala la watu kutembea na kuishi nje ya Taifa lao linachagizwa zaidi na sababu za kitamaduni kuliko sababu za kiuchumi.

Mfano mzuri ni sisi hapa wabongo, hatuna kawaida ya kutembea na kutafuta ahueni ya maisha kwenye nchi za watu ilihali hapa kwetu wengi tuna maisha magumu, sasa kwanini hatutoki!? Sababu ya misingi fulani hivi ya kitamaduni tuliyojengewa, kama hali ya kiuchumi kwa wanainchi ndio ingekuwa sababu kuu inayowafaya nyumbani pasikalike, basi naamini leo hii sisi ndio tungekuwa wasafiri namba moja kwa hapa afrika mashariki.
 
Mkuu uko Kazan unalalamika maisha magumu, Je ungekuwa Moscow ingekuaje?

Anyway, hv umetumia kipimo gani kulinganisha u ghali wa maji ukiwa Kazan na Dar mpk ufikie hatua ya kusema ni mara tatu? Ndy nyie mkiwa abroad mnafanya purchasing ya vitu lazima kwanza mui convert ile pesa ya sehemu husika kwenda pesa ya kibongo kisha ndy mfanye manunuzi....lakini ukweli utabaki kuwa hakuna mahali maisha yatakuwa marahisi kama hufanyi kazi au kujishughulisha na chochote.
Halafu pia wanachokosea hawa waswahili ni kufanya hiyo conversion of currency kisha kuhitimisha pasipo kuangalia vitu kama purchasing power, income per capita na consumer price index ya nchi husika.

Unakuta mtu huko Kazan labda katumia huduma ya maji ambayo gharama yake kwa wiki ni Russian ruble 8,000 sasa akija kui-convert kwenye hela ya kibongo akapata 311,000/= anaanza kushangaa na kuona maisha ya huko ni gharama sana kulinganisha na ya Tanzania kisa tu hela aliyotumia kulipia bili ya maji ya wiki moja kwa huku bongo ingeweza kuwa hata ni bili ya maji kwa mwaka mzima.

Anasahau kwamba uwezekano wa mrussia kuipata ruble 8,000 huko kwao ni mkubwa na wala sio kitu cha kuwaza kuliko mbongo kuipata shilingi elfu 20 hapa bongo.

Anasahau kwamba kwa sababu za kimazingira na mfumo mzima wa kiuchumi wa huko Russia gharama kama hizo ni ndogo kwa mrussia mwenye kipato cha kawaida.

Anasahau kwamba yawezekana kulingana na general price level ya huduma mbali mbali za kijamii serikali umeona ni sawa tu kupanga hicho kiasi kma ada ya huduma ya maji.

Waswahili tunapenda kuishi kwa mazoea pasipo kutafakari.
 
Kujifanya unaijua sana nchi nyingine pia ni uzwazwa fulani, Inawezekana ni kweli Urusi sio nchi iliyostawi sana kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja lkn sio kama unavyoingolea kuwa imechoka sana, kumbuka Urusi kabla ya kusimamishwa 2014 ilikuwa ndani ya G8(Most industrial countries) hata hivyo per capital income ya urusi sio mbaya sana.La mwisho kila nchi ina maskini sio urusi tu
Urusi ilikuwa kwenye G8 Sabuni Ya stock ya silaha zake na sio kwa sababu ni tajiri!
 
Mambo mengine kama hujui unakaa kimia kuliko kujifanya unajua alafu ukaonekana kama kituko mbele za watu.
G8 na mambo ya kijeshi wapi na wapi ?
Nguvu zake za kijeshi ndio zilimuweka hapo juu and not otherwise. Kuna nchi nyingi ximemzidi Russia Kwa utajiri km Brazil ,China na India lakini hazipo kwenye G8
 
Nguvu zake za kijeshi ndio zilimuweka hapo juu and not otherwise. Kuna nchi nyingi ximemzidi Russia Kwa utajiri km Brazil ,China na India lakini hazipo kwenye G8
Tofautisha nchi yenye uchumi mkubwa na taifa liloendelea kiviwanda .
Nikupe mfano katika eneo la mashariki ya kati, taifa lenye uchumi mkubwa ni saudia arabia lakini haina nguvu za kiviwanda kama Iran na Israel.
Kwa hiyo G8 ni mataifa yaliyo endelea kiviwanda na Si yenye uchumi mkubwa.
 
Kujifanya unaijua sana nchi nyingine pia ni uzwazwa fulani, Inawezekana ni kweli Urusi sio nchi iliyostawi sana kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja lkn sio kama unavyoingolea kuwa imechoka sana, kumbuka Urusi kabla ya kusimamishwa 2014 ilikuwa ndani ya G8(Most industrial countries) hata hivyo per capital income ya urusi sio mbaya sana.La mwisho kila nchi ina maskini sio urusi tu
Hiyo ya Urusi kua member wa G 8 iliingizwa kisiasa tu mkuu, sorry brother, sina uhakika na umri wako but kama utakua una over 45 years utakumbuka wakati USSR inavunjika mwishoni mwa miaka ya 80, hi Urusi ya leo iliomba kuingia nafasi ya USSR ya wakati huo kwenye hiyo G 8 cause USSR ilikua ni member. I am not sure na current status ya uchumi wao but nilitaka tu kuonesha uanachama wao kwenye hiyo global 8 kwamba ilikua ya kupewa na sio kustahiri, yaani ilirithi. Tuendelee na michango wa uzi
 
Watanzania ni watu wagumi sana kuelewa.katika nchi iliyoendelea kiviwanda uwezi ukaiyacha Urusi ndugu hata siku moja.yani utatowa nchi zote hapo ila sio Urusi
 
Hiyo ya Urusi kua member wa G 8 iliingizwa kisiasa tu mkuu, sorry brother, sina uhakika na umri wako but kama utakua una over 45 years utakumbuka wakati USSR inavunjika mwishoni mwa miaka ya 80, hi Urusi ya leo iliomba kuingia nafasi ya USSR ya wakati huo kwenye hiyo G 8 cause USSR ilikua ni member. I am not sure na current status ya uchumi wao but nilitaka tu kuonesha uanachama wao kwenye hiyo global 8 kwamba ilikua ya kupewa na sio kustahiri, yaani ilirithi. Tuendelee na michango wa uzi
Mi navyojua katika sekta ya viwanda ni Marekani na Urusi ndo wenye sekta iyo ya viwanda.warusi wana viwanda vya kila kitu kwao.yani takataka za kila aina zinatengenezwa Urusi
 
Hiyo ya Urusi kua member wa G 8 iliingizwa kisiasa tu mkuu, sorry brother, sina uhakika na umri wako but kama utakua una over 45 years utakumbuka wakati USSR inavunjika mwishoni mwa miaka ya 80, hi Urusi ya leo iliomba kuingia nafasi ya USSR ya wakati huo kwenye hiyo G 8 cause USSR ilikua ni member. I am not sure na current status ya uchumi wao but nilitaka tu kuonesha uanachama wao kwenye hiyo global 8 kwamba ilikua ya kupewa na sio kustahiri, yaani ilirithi. Tuendelee na michango wa uzi
Mkuu sijasoma sana history wala sina umri huo uliotaja, ila nachojua kabla ya Urusi kuingia mwaka 1997 ilikuwa G7, na kabla ya Canada kuingia mwaka 1976 ilikuwa inaitwa group of six. Huo uanachama wa USSR sijawahi kuusikia isipokuwa nilisikia EU ndo ilipewa uanachama japo haikuwa na haki kama wa wanagroup wengine ie. Kuandaa mkutano wa kilele na kuongoza mkutano.I stand to corrected and I humbly submit
 
Nguvu zake za kijeshi ndio zilimuweka hapo juu and not otherwise. Kuna nchi nyingi ximemzidi Russia Kwa utajiri km Brazil ,China na India lakini hazipo kwenye G8
Hahaaa nguvu za kijeshi kivipi mkuu, G8 ni nchi zilizostawi kiviwinda haihusiani na nguvu uliyonayo kijeshi.Hata hivyo toka hiyo G6 iundwe 1975 mpaka sasa mabadiliko ulimwenguni kuhusu viwanda ni makubwa, huenda ikiundwa upya leo hii kuna nchi hapo zitasepeshwa na nafsi zao kuchukuliwa na nchi nyingine
 
Back
Top Bottom