Hali ya kifedha mifukoni imekua tete

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,993
3,684
Niko na wadau mitaa ya shikamoo pub Sinza,viti viko wazi na watu wa kuhesabu.Ukizingatia tarehe "zimeandama" ila mahudhurio ni hafifu as compared to enzi zilee..kweli hali ni tete at micro level.

Namba inasomeka!
 
Watu wengi wamehamia Dodoma ukizingatia wanywaji wengi wa Sinza ni wafanyakazi wa serikali
 
Sehemu ambayo hadi leo viti vinajaa ni Arusha, kweli lile jiji la mabilionaire
 
Niko na wadau mitaa ya shikamoo pub Sinza,viti viko wazi na watu wa kuhesabu.Ukizingatia tarehe "zimeandama" ila mahudhurio ni hafifu as compared to enzi zilee..kweli hali ni tete at micro level.

Namba inasomeka!
Hongereni sn,, vaeni na mawani ya kusomea ili namba mzisome vzr,,
Madeal ya Makontena na Magari ya mnada pamoja na Koki ya mafuta vyote vimedhibitiwa vzr kwa hiyo hakuna namna ni kuzisoma namba tu.
 
pumzi ishakata muda mrefu watu wanapumulia mashine,mifukoni watu kweupee hadi huruma
 
Back
Top Bottom