hali ya hewa hapo ulipo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,556
422
salamu sana wakuu
siku ya leo huku mkuu rombo juwa limekuwa kali sana kuna vumbi la kufa mtu
embu 2pe update za hali ya hewa hapo ulipo
nawasilisha

update za leo

leo asubui hapa rombo baridi ilikuwa kali sana cha kushangaza ilipo fika saa 5 juwa limewaka na kuwa kali sana

hapo ulipo hali ya hewa ikoje wakuu
 
mi hapa namshangaa tumbo kubwa wassira na jinsi anavyotudanganya..he is the one the topiest gamba! zee zima talk pumba..xo kashachafua hali ya hewa hapa. tbc1 gamba
 
salamu sana wakuu siku ya leo huku mkuu rombo juwa limekuwa kali sana kuna vumbi la kufa mtu embu 2pe update za hali ya hewa hapo uliponawasilisha
Mkuu mimi nipo hapa Shinyanga na mvua inanyesha sana tangu mchana wa saa 7 hadi usiku huu.
 
aisee babangu huku kwetu ni mwendo wa juwa 2 yani vumbi kwenda mbele
 
nawasiwasi haya maindi 2lio panda msimu huu sijui kama yatastawi coz hii hali ya hewa si nzuri kabisa

ngoja nikakate kiu na mbege baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom