Nachukia watu wabishi, nenda ilboru leo karibu na riadha lodge amefariki kaka mmija huku mama yake na dada yake wapo hoiWewe ni mmoja wa team iliyopewa bando ili kurudisha hofu kwa watz juu ya uviko? Kama sio mmoja wao taja eneo au kijiji ambacho kina hiyo misiba 6. Tulioko moshi tuhakikishe. Sio vyema kushiriki kutia hofu wananchi