#COVID19 Hali ya Covid Moshi ni mbaya sana watu wanakuputika balaa

Wewe ni mmoja wa team iliyopewa bando ili kurudisha hofu kwa watz juu ya uviko? Kama sio mmoja wao taja eneo au kijiji ambacho kina hiyo misiba 6. Tulioko moshi tuhakikishe. Sio vyema kushiriki kutia hofu wananchi
Nachukia watu wabishi, nenda ilboru leo karibu na riadha lodge amefariki kaka mmija huku mama yake na dada yake wapo hoi
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom