kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,890
Moshi hali ni mbaya sana watu wanakufa kwa covid sio mchezo.
Ni juzi tu hapo tumetoka kumzika bamkubwa alokufa kwa Covid leo jana na leo kuna misiba mingine tena.
Hapo napigiwa simu naambiwa mtaani kuna misiba minne mtaa wa pili misiba ipo sita.
Na wote hao ni covid isipokua mmoja tu.
Hali sio shwari kabisa watu wanakufa kwa kushindwa kupumua case za kufa kwa kushindwa kupumua ni nyingi sana huko Moshi hali ni tete.
Na misiba iliyoko kila kijiji na mitaa ni mingi mnoo huko moshi ni mwendo wa kuzika tu safari za kwenda Moshi kuzika zimeanza tena yaani hiki kirusi cha sasa ni balaa kinaua fasta nusu saa tu.
Hali ni mbaya sana huko Moshi.