Hali ya Corona nchini si mbaya kama watu wanavyosema, japo taadhari ni lazima zichukuliwe

naliwe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
647
800
Huu ushabikibi wa kijinga na upotoshaji unaoletwa na baadhi ya watu wajinga na wanasiasa wajinga kwamba Hali ni mbaya Sana Hadi kufikia kumtukana Mh rais mitandaoni Kwa uamuzi wake wa kuto lock down baadhi ya mikoa

Naomban niwambiei mimi ni mmoja wa wapambanaji tena kwenye ms
tari wa mbele kabisa kama ni vitani nipo uso Kwa uso na adui

Hali ya colona nichini si mbaya kama watu wanasema,japo taadhari ni lazima zichukuliwe

Fikiria wagonjwa 147 kata ya ao 131 wanaendelea vizur,

Tupo kwenye week za kilele kwenye maambukizi tukiwa na wagonjwa 147 wakati huo WHO walisema kufikia week hii tungekua na wagonjwa 1000 na vifo 300

Je mmesahau wakati ubalozi wa marekani ulivyowataashirisha raia wake kua baada ya week tatu Tanzania itakua Zaidi ya itary?

Huu ugonjwa unapewa sifa kisa unauwa Sana watu weupe, (wazungu)

Ungeanzia Africa ungepewa sifa kiasi hiki?

Acheni polojo za kijinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IDADI YA MAAMBUKIZI PAMOJA NA VIFO.docx
    21.1 KB · Views: 2
Hakuna porojo ukweli lazima usemwe serikali inaleta mzaha na huu ugonjwa hatari pesa za kununua wapinzani tunazo pesa za kuweka lockdown hakuna tangazeni kujiuzulu
 
Hali ya colona nichini si mbaya kama watu wanasema,japo taadhari ni lazima zichukuliwe

Fikiria wagonjwa 147 kata ya ao 131 wanaendelea vizur,

Tupo kwenye week za kilele kwenye maambukizi tukiwa na wagonjwa 147 wakati huo WHO walisema kufikia week hii tungekua na wagonjwa 1000 na vifo 300

Acheni polojo za kijinga,
Naunga mkono hoja, kwa Tanzania hali bado sio mbaya kivile, lakini kwa rate ya sasa ya maambukizi tunayokwenda nayo sasa, ni busara tukianza na kuweka akiba ya maneno.
P
 
Nyie ndo mnaotukwamisha katika vita hii mpaka RPC anasema dawa ya huu ugonjwa ni JPM! Kweli???? Tuseme ukweli hali ni mbaya kuliko tunavyotangaziwa, lakini kwa vile JF ni hansard tosha tutarudi baada ya muda flan kuangalia validity ya uzi wako, tuvute subira maana muda ni hakimu mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ushabikibi wa kijinga na upotoshaji unaoletwa na baadhi ya watu wajinga na wanasiasa wajinga kwamba Hali ni mbaya Sana Hadi kufikia kumtukana Mh rais mitandaoni Kwa uamuzi wake wa kuto lock down baadhi ya mikoa

Naomban niwambiei mimi ni mmoja wa wapambanaji tena kwenye ms
tari wa mbele kabisa kama ni vitani nipo uso Kwa uso na adui

Hali ya colona nichini si mbaya kama watu wanasema,japo taadhari ni lazima zichukuliwe

Fikiria wagonjwa 147 kata ya ao 131 wanaendelea vizur,

Tupo kwenye week za kilele kwenye maambukizi tukiwa na wagonjwa 147 wakati huo WHO walisema kufikia week hii tungekua na wagonjwa 1000 na vifo 300

Je mmesahau wakati ubalozi wa marekani ulivyowataashirisha raia wake kua baada ya week tatu Tanzania itakua Zaidi ya itary?

Huu ugonjwa unapewa sifa kisa unauwa Sana watu weupe, (wazungu)

Ungeanzia Africa ungepewa sifa kiasi hiki?

Acheni polojo za kijinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anamtukana mh Rais ?!.
Kukosoa mipango yake si kumtukana . Mipango ya serikali toka mwanzo wa kutambulishwa maradhi haya hakukuwa na seriousness. Waliuita ni maradhi ya weupe huko, mara Corona ni sawa na Cdm inaweza kupigwa vita tu. KWELI ?!

Kwa sasa Dar na Zanzibari hali siyo. Kwanini mikoa hiyo isiwekwe chini ya ulinzi ili kuilinda nchi hii na maradhi ya Covid 19 ?! Siasa za nini wakati watu wanapereka maradhi mikoani. Kwani wakisimamisha usafiri wa kuingia na kutoka miji hiyo, kosa liko wapi ?!.

Odhis *
 
Huu ushabikibi wa kijinga na upotoshaji unaoletwa na baadhi ya watu wajinga na wanasiasa wajinga kwamba Hali ni mbaya Sana Hadi kufikia kumtukana Mh rais mitandaoni Kwa uamuzi wake wa kuto lock down baadhi ya mikoa

Naomban niwambiei mimi ni mmoja wa wapambanaji tena kwenye ms
tari wa mbele kabisa kama ni vitani nipo uso Kwa uso na adui

Hali ya colona nichini si mbaya kama watu wanasema,japo taadhari ni lazima zichukuliwe

Fikiria wagonjwa 147 kata ya ao 131 wanaendelea vizur,

Tupo kwenye week za kilele kwenye maambukizi tukiwa na wagonjwa 147 wakati huo WHO walisema kufikia week hii tungekua na wagonjwa 1000 na vifo 300

Je mmesahau wakati ubalozi wa marekani ulivyowataashirisha raia wake kua baada ya week tatu Tanzania itakua Zaidi ya itary?

Huu ugonjwa unapewa sifa kisa unauwa Sana watu weupe, (wazungu)

Ungeanzia Africa ungepewa sifa kiasi hiki?

Acheni polojo za kijinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu sisi waTanzania tuna shida sana ya maneno mengi,watu hata hawajui mambo ya kitabibu lakini ukiwakuta wanaongea utadhani wao ndiyo Corona yenyewe,ugonjwa ni vizuri kuchukua tahadhari lakini ungekua kama unavyosemwa mtaani watu wangekua wanadondoka tu.

Ukweli ugonjwa umekutana na watu wagumu na nina shaka hii kitu kama walitengeneza huko nje basi idadi yao hasa Marekani wanaweza kua wanadanganya ili kuaminisha nchi zingine kua hata wao wanakufa,we ugonjwa kwetu wanasema 95% ya wagonjwa wanaendelea vzr hii ni faraja lakini tahadhari kama wizara inavyo tuelekeza ni muhimi,watu wanampanikisha Rais wetu utadhani yeye kawaambia kua hajui sasa wamuelekeze.

Swala la lockdown kwa nchi hii ni gumu sana kulingana naahali za kiuchumi za wengi,wote wanao piga kelele za lockdown wana ka mkate ndani na wanadhani wananchi wote wako kama wao...tupige kazi zetu kama kawaida lakini tuchukue tahadhari

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mungu atuvushe salama kwenye hili janga.Hayo mengime ya kusifiana,kuabudu binadamu mwenye nyama na damu bakieni nayo mnao sifu na kuabudu.
Rais hapaswi kutukanwa,kuabudiwa na kusifiwa.Anatakiwa awe front kupigani wapiga kura wake.
 
Umepanic
Nadhan tatizo lako ni serikali kukosolewa kutokana na jinsi inavyo-deal na tatizo
Hiyo wiki ya kilele umeijua kwa kipimo gani?

Jichunge, Wachunge na wenzio, acha UJINGA
 
Takataka
Huu ushabikibi wa kijinga na upotoshaji unaoletwa na baadhi ya watu wajinga na wanasiasa wajinga kwamba Hali ni mbaya Sana Hadi kufikia kumtukana Mh rais mitandaoni Kwa uamuzi wake wa kuto lock down baadhi ya mikoa

Naomban niwambiei mimi ni mmoja wa wapambanaji tena kwenye ms
tari wa mbele kabisa kama ni vitani nipo uso Kwa uso na adui

Hali ya colona nichini si mbaya kama watu wanasema,japo taadhari ni lazima zichukuliwe

Fikiria wagonjwa 147 kata ya ao 131 wanaendelea vizur,

Tupo kwenye week za kilele kwenye maambukizi tukiwa na wagonjwa 147 wakati huo WHO walisema kufikia week hii tungekua na wagonjwa 1000 na vifo 300

Je mmesahau wakati ubalozi wa marekani ulivyowataashirisha raia wake kua baada ya week tatu Tanzania itakua Zaidi ya itary?

Huu ugonjwa unapewa sifa kisa unauwa Sana watu weupe, (wazungu)

Ungeanzia Africa ungepewa sifa kiasi hiki?

Acheni polojo za kijinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona kampeni zimeanza kiaina,huu ugonjwa haujui we we ni kiongozi au ni raia wa kawaida,hii ni vita ambayo hadI sasa tumeshaona ni kwamba kila RAIA anabeba mtutu kutetea uhai wake ndio maana serikali inapambana kukuokoa tuu ukishajeruhiwa ,lakini ukiamua kujificha ni we we ukikaa kizembe ni juu yako hupewi silaha zakujikinga kama barakoa,gloves,sanitizers, chakula lazma ukanunue vyote ili upigane vyema.....Tuwe makini watu wa MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ushabikibi wa kijinga na upotoshaji unaoletwa na baadhi ya watu wajinga na wanasiasa wajinga kwamba Hali ni mbaya Sana Hadi kufikia kumtukana Mh rais mitandaoni Kwa uamuzi wake wa kuto lock down baadhi ya mikoa

Naomban niwambiei mimi ni mmoja wa wapambanaji tena kwenye ms
tari wa mbele kabisa kama ni vitani nipo uso Kwa uso na adui

Hali ya colona nichini si mbaya kama watu wanasema,japo taadhari ni lazima zichukuliwe

Fikiria wagonjwa 147 kata ya ao 131 wanaendelea vizur,

Tupo kwenye week za kilele kwenye maambukizi tukiwa na wagonjwa 147 wakati huo WHO walisema kufikia week hii tungekua na wagonjwa 1000 na vifo 300

Je mmesahau wakati ubalozi wa marekani ulivyowataashirisha raia wake kua baada ya week tatu Tanzania itakua Zaidi ya itary?

Huu ugonjwa unapewa sifa kisa unauwa Sana watu weupe, (wazungu)

Ungeanzia Africa ungepewa sifa kiasi hiki?

Acheni polojo za kijinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii haina colona ina Corona.
 
Back
Top Bottom