cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,311
- 7,494
Wakati vyomba vya habari vya ndani na vile vya kimataifa vikiwa bize kuripot visa na mapambano ya covid 19 katika nchi za Kenya,Rwanda na Uganda ,Afrika kusini na Nigeria lakini cha kusikitisha Tanzania haitajwi nini kinaendelea kwenye hii nchi kana kwamba hakuna covid 19 nchini Tanzania
BBC,DW nk zinaangazia hali ya maambukizi ya covid 19 nchi za Afrika Mashariki lakini wamemaliza bila kutaja nchi ya Tanzania kulikoni?
Vyombo vya habari vya ndani vimekuwa mstari wa mbele kutuarifu visa na maambukizi huko Uganda na Kenya, USA lakini wameshindwa kufuatilia mamlaka husika Tanzania kuhusu visa vya covid 19 wahoji kulikoni Tanzania au covid 19 Tanzania haipo?
Vyombo vya habari Tanzania vinatuangusha sana kipindi hiki
NB,kuwa kimya kuhusu Covid 19 Tanzania kunasababisha watu wajisahau kuchukua tahadhari kuhusu kujikinga na covid 19,watu wamepunguza kunawa,mikusanyiko huku wanadhani corona imeisha
Sent using Jamii Forums mobile app