Hali ya corona Afrika Mashariki,Tanzania haitajwi kulikoni?

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Wakati vyomba vya habari vya ndani na vile vya kimataifa vikiwa bize kuripot visa na mapambano ya covid 19 katika nchi za Kenya,Rwanda na Uganda ,Afrika kusini na Nigeria lakini cha kusikitisha Tanzania haitajwi nini kinaendelea kwenye hii nchi kana kwamba hakuna covid 19 nchini Tanzania

BBC,DW nk zinaangazia hali ya maambukizi ya covid 19 nchi za Afrika Mashariki lakini wamemaliza bila kutaja nchi ya Tanzania kulikoni?

Vyombo vya habari vya ndani vimekuwa mstari wa mbele kutuarifu visa na maambukizi huko Uganda na Kenya, USA lakini wameshindwa kufuatilia mamlaka husika Tanzania kuhusu visa vya covid 19 wahoji kulikoni Tanzania au covid 19 Tanzania haipo?

Vyombo vya habari Tanzania vinatuangusha sana kipindi hiki

NB,kuwa kimya kuhusu Covid 19 Tanzania kunasababisha watu wajisahau kuchukua tahadhari kuhusu kujikinga na covid 19,watu wamepunguza kunawa,mikusanyiko huku wanadhani corona imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuambia Tanzania kuna visa vya Corona ni nani? Wale wote wanaelekea kupona na kwa kuwa mamlaka hazijatangaza wagonjwa wapya maana yake hakuna maambukizi mapya, China wameweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini😀😀😀
 
Waandishi was habari huripoti kutokana na taarifa zilizotolewa na sweikali ya nchi husika, Tanzania hawana maambukizi mapya wala vifo ulitaka walipoti nini?
 
Raia mnapenda kusikia habari mbaya ya Tz, habari njema hamtaki kabisa hivi mpoje? Yawezekana Neema ya Mwenyezi Mungu imetushukia hakuna maumbukizo mapya!
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Africa
 
Wakati vyomba vya habari vya ndani na vile vya kimataifa vikiwa bize kuripot visa na mapambano ya covid 19 katika nchi za Kenya,Rwanda na Uganda ,Afrika kusini na Nigeria lakini cha kusikitisha Tanzania haitajwi nini kinaendelea kwenye hii nchi kana kwamba hakuna covid 19 nchini Tanzania

BBC,DW nk zinaangazia hali ya maambukizi ya covid 19 nchi za Afrika Mashariki lakini wamemaliza bila kutaja nchi ya Tanzania kulikoni?

Vyombo vya habari vya ndani vimekuwa mstari wa mbele kutuarifu visa na maambukizi huko Uganda na Kenya, USA lakini wameshindwa kufuatilia mamlaka husika Tanzania kuhusu visa vya covid 19 wahoji kulikoni Tanzania au covid 19 Tanzania haipo?

Vyombo vya habari Tanzania vinatuangusha sana kipindi hiki

NB,kuwa kimya kuhusu Covid 19 Tanzania kunasababisha watu wajisahau kuchukua tahadhari kuhusu kujikinga na covid 19,watu wamepunguza kunawa,mikusanyiko huku wanadhani corona imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mkuu aaibike kimataifa kwa visa vingi vya corona wakati yeye alisema tumtegemee Mungu tu.
 
Waliotangazwa wanazo kesi za maambukizi Tanzania

Swali ama maswali unayouliza humu hutopata majibu ni vizuri ungewatafuta hao mashirika ya habari ukawauliza maswali yako haya afu humu ukatuletea majibu badala ya maswali

waliotangazwa na hivyo vyombo vya habari wanazo kesi mpya za maambukizi kwa muda na wakati waliporipotiwa kwenye vyombo vya habari,
Je wewe unahitaji kutangazwa hata kama hakuna habari?

ama wewe unafikiri hao waliotangazwa waliandika barua za maombi kuomba kwamba watangazwe?

Chukua tahadhari nawa mikono,vaa barakoa,usitoke ovyo kama si lazima kaa ndani kwako
Na kama utatoka chukua tahadhari ukienda kazini,chapa kazi mtanzania na epuka mikisanyiko isiyokuwa ya lazima.
 
Hahaaa

Point noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom