Hali ya corona Afrika Mashariki,Tanzania haitajwi kulikoni?

Wakati vyomba vya habari vya ndani na vile vya kimataifa vikiwa bize kuripot visa na mapambano ya covid 19 katika nchi za Kenya,Rwanda na Uganda ,Afrika kusini na Nigeria lakini cha kusikitisha Tanzania haitajwi nini kinaendelea kwenye hii nchi kana kwamba hakuna covid 19 nchini Tanzania

BBC,DW nk zinaangazia hali ya maambukizi ya covid 19 nchi za Afrika Mashariki lakini wamemaliza bila kutaja nchi ya Tanzania kulikoni?

Vyombo vya habari vya ndani vimekuwa mstari wa mbele kutuarifu visa na maambukizi huko Uganda na Kenya, USA lakini wameshindwa kufuatilia mamlaka husika Tanzania kuhusu visa vya covid 19 wahoji kulikoni Tanzania au covid 19 Tanzania haipo?

Vyombo vya habari Tanzania vinatuangusha sana kipindi hiki

NB,kuwa kimya kuhusu Covid 19 Tanzania kunasababisha watu wajisahau kuchukua tahadhari kuhusu kujikinga na covid 19,watu wamepunguza kunawa,mikusanyiko huku wanadhani corona imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu haipandi
IMG_20200427_174252.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama hakuna visa, shirika la afya duniani (WHO) linataka nchi zitoe taarifa kuwa hakuna visa (zero reporting kwa kimombo). Kutokutoa taarifa hakuna utetezi.
Waandishi was habari huripoti kutokana na taarifa zilizotolewa na sweikali ya nchi husika, Tanzania hawana maambukizi mapya wala vifo ulitaka walipoti nini?
 
Dada Ummy hataki kutenda dhambi ya uongo wakati huu wa mfungo. Hataki kusema watu wamepona au kuugua wengi wakati ni uongo.
Hata kama hakuna visa, shirika la afya duniani (WHO) linataka nchi zitoe taarifa kuwa hakuna visa (zero reporting kwa kimombo). Kutokutoa taarifa hakuna utetezi.
 
Maombi na kufunga vimejibu mkuu. Lakini leo nimecheka sana kuna mtu ananipigia simu anasema sasa hivi corona inaisha sababu hajasikia sana nimebaki kucheka tu. Watu wengi wameanza kurelax na kujisahau sasa ni bora viwe kweli vimepungua na hamna case mpya ili kama ni vinginevyo sijui itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda waandishi wa habari Tanzania hawafatilii sehemu husika kupata updates za corona
 
Kwa hili nampongeza Rais Magufuli. Hatuwezi kuwa vibaraka wa mataifa ya ulaya hata siku moja chini ya uongozi wa JPM. Tanzania hatuhitaji kuwa katika habari za kizushi za mataifa ya nje. Sisi tunaweza ku take care of our own problems bila kulalama wala kuhitaji sympathy toka kwa yeyote.
Kuna mataifa ya Afrika yamefikia hatua ya mpaka kujidhalilisha kwa kujipendekeza kwa wazungu, Congo mpaka wakakubali wananchi wake wapewe chanjo ya Corona pamoja na maneno ya kibaguzi toka kwa watengenezaji. Wazungu wanasubiri kuona tukifa kama kuku mitaaani nahatutakufa hivyo. Watu wanang'ang'ana na lock down je imewasaidia nini? Leo walio na lock down ndio wanakufa ma laki.
Piga kazi acha uoga kijana. Ulizaliwa ili siku moja ufe sasa unaogopa nini? Hata siku moja usijidharaulishe kwa mzungu hata kama kifo kipo mbeleyako maana hatakusaidia lolote zaidi ya kukucheka na kukuona mnyama tu kama nyani. Pambana na hali yako kibishi.

Back
Top Bottom