Hali ya barabara Ngorongoro Crater inatisha

Tusibiri wamalize kuhamisha wanyama kwenda Burigi ndio watarudi kuja kukarabati barabara.
Najiuliza kiingilio cha mtalii wa nje mmoja Ngorongoro ni USD 71,Crater fee kwa gari ni USD 295,camping fee kwa mtalii wa nje USD 35.4 kwa siku moja.
Maelfu kwa maelfu wanatembelea Ngorongoro crater kwa mwaka,pesa zinaenda wapi?
Wanashindwaje kumudu gharama za kutengeneza barabara huku mamlaka ikiwa ina mitambo ya kutengenezea barabara,imeajiri madereva nk
Tanzania kama nchi tuombe Mungu sana huenda kuna laaana sio bure.!!
 
Barabara za Hifadhi ya taifa zipo hivo zote ili kuleta u ‘natural’ miaka yote hizo barabara zipo hivo ndio maana gari zinazoenda porini ni Land Crusier na Land Rover. Hizi sehem ni za wakazi za wanayama wa porini mnataka muwapelekee lami? Sio jana wala juzi porni hamna njia nzuri na ndio ilivo we kama una ki ist huku hakukuhusu
 
Hiyo video nadhani ni ndani ya crater, ulimaanisha kutengeneza barabara ndani ya crater ama??
 
SGR na Nyerere Dam(Stiggler)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barabara za Hifadhi ya taifa zipo hivo zote ili kuleta u ‘natural’ miaka yote hizo barabara zipo hivo ndio maana gari zinazoenda porini ni Land Crusier na Land Rover. Hizi sehem ni za wakazi za wanayama wa porini mnataka muwapelekee lami? Sio jana wala juzi porni hamna njia nzuri na ndio ilivo we kama una ki ist huku hakukuhusu
Exactly, nilikuwa nakuja huko, mbaya sana watu kuleta siasa hata katika vitu wasivyovijua, hao ni watu wa utalii wanachoangalia ni namna ya kuingiza kipato tu na kuwafurahisha wageni wao lakini hawajui tourism its just a small portion ya shughuli nyingi zinazofanyika hifadhini, shughuli ya kwanza na kubwa ni uhifadhi.
 
Si hao hao watalii kupitia mashirika yao ndo hupinga lami kwenye hifadhi kwa madai ya ekolojia na mazingira!

Kwa mvua hizi kutegemea hizo barabara za changarawe kukosa madimbwi na tope ni uwendawazimu.
 
Barabara za Hifadhi ya taifa zipo hivo zote ili kuleta u ‘natural’ miaka yote hizo barabara zipo hivo ndio maana gari zinazoenda porini ni Land Crusier na Land Rover. Hizi sehem ni za wakazi za wanayama wa porini mnataka muwapelekee lami? Sio jana wala juzi porni hamna njia nzuri na ndio ilivo we kama una ki ist huku hakukuhusu
Mkuu usiongee kitu kama hukijui. Barabara za hifadhini huwa zinakarabatiwa ili zipitike na hadi madaraja huwa yanajengwa.

Lami haiwekwi ila wanakarabati sana tu.
 
Umeripoti vizuri kwa lugha inayojulikana/sikika ila ukamalizia na hiyo ya mabeberu. Sidhani ka wahusika wamekusikia. Many of them are praying that kiswahili will go all the way to varsity
 
Mwambie wewe
Maana anajifanya anajua sana na kuleta siasa zake uchwara.
Barabara itengenezwe kwa kiwango cha kuridhisha yawekwe makaravati nk
Hatusemi waweke lami ndani ya Ngorongoro crater lakini barabara ziwe zinapitika kwa urahisi muda wote, hafikirii watu wanachelewa ndege kwa ajili ya uharibifu wa hizo barabara,hafikirii watu wanaharibu land cruiser zao ambazo wengine wamekopa kwenye mabenki,yeye analeta ushabiki maandazi.
Namshauri kama jambo halijui kwa kina aache kujadili abaki kuwa msomaji.
Mkuu usiongee kitu kama hukijui. Barabara za hifadhini huwa zinakarabatiwa ili zipitike na hadi madaraja huwa yanajengwa.

Lami haiwekwi ila wanakarabati sana tu.
 
Unauliza jibu? Watalii wanateseka kwa barabara mbovu kwa kiasi hicho.
Hatumaanishi wajenge barabara za lami lakini watengeneze barabara zinazopitika muda wote kwa mwaka mzima.Wadau wa utalii wana haribu magari yao wengine hayo magari bado wanadaiwa na mabenki nk.
Ngorongoro crater huwa inakuwa na barabara zinazopitika kwa urahisi tunashangaa mwaka huu mambo yamekuwa tofauti na mabaya zaidi kwa upande wa barabara za crater.
NB: Nimejibu kwa kuona mleta mada yupo kimya ila nami pia ni mdau wa utalii.

Back
Top Bottom