Elections 2010 Hali ya baadaye kisiasa - Jakaya Kikwete

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,682
8,233
Baada ya kuona Chama Cha Majambazi wanapoteza ushindi alitoa amri ya kutokutangaza matokeo ili Watanzania wagiribike lakini wapi, Je Dr. Slaa anaweza kumpa uwaziri wa mambo ya nje ili aridhike na matokeo halali ya uchaguzi na kuokoa damu ya walipa kodi isimwagike?

Matokeo yote tayari yanajulikana kwa nini wasitoe au wanafikiri Watanzania ni wakuburuzwa? Chadema toeni matokeo yote kutoka kwa wakala wenu hadharani ili NEC wakitoa yao tuwaulize wameyapata wapi?
 
Why Kikwete is trying to cling into power .... na kuacha historia mbaya ya umwagikaji damu Tanzania? Why why why?
 
MBONA chadema KAULI YENU NI KUMWAGA DAMU ZA WANANCHI KABLA YA UCHAGUZI NA SASA BADO MUNAENDELEZA KAULI HIYO MBAYA!!!

YAANI KAMA SLAA HAPATI KURA ZA KUTOSHA, NI HAKI YENU KUMWAGA DAMU ZETU WA TZ???? CHONDE CHONDE CHADEMA WACHENI KUTISHIA KUMWAGA DAMU BADALA YAKE ONYESHENI UVUMILIVU, UPENDO, SUBIRA NA UKOMAVU WA KISIASA!!!

TANZANIA HATUTAKUBALI DAMU YETU IMWAGWE ILI MTU MMOJA AINGIE IKULU!!!!

SORRY!!!!
 
Kama alifikiria hivyo ................... aandike maumivu .................lakini kama haelewi kwanini
watanzania ni maskini nadhani kuwa na mawazo finyu kama haya ni kawaida kwake :bowl:
 
MBONA chadema KAULI YENU NI KUMWAGA DAMU ZA WANANCHI KABLA YA UCHAGUZI NA SASA BADO MUNAENDELEZA KAULI HIYO MBAYA!!!

YAANI KAMA SLAA HAPATI KURA ZA KUTOSHA, NI HAKI YENU KUMWAGA DAMU ZETU WA TZ???? CHONDE CHONDE CHADEMA WACHENI KUTISHIA KUMWAGA DAMU BADALA YAKE ONYESHENI UVUMILIVU, UPENDO, SUBIRA NA UKOMAVU WA KISIASA!!!

TANZANIA HATUTAKUBALI DAMU YETU IMWAGWE ILI MTU MMOJA AINGIE IKULU!!!!

SORRY!!!!

Vipi Zubeda umeshapewa uraia wa Tanzania au unaishi illegally?
 
MBONA chadema KAULI YENU NI KUMWAGA DAMU ZA WANANCHI KABLA YA UCHAGUZI NA SASA BADO MUNAENDELEZA KAULI HIYO MBAYA!!!
YAANI KAMA SLAA HAPATI KURA ZA KUTOSHA, NI HAKI YENU KUMWAGA DAMU ZETU WA TZ???? CHONDE CHONDE CHADEMA WACHENI KUTISHIA KUMWAGA DAMU BADALA YAKE ONYESHENI UVUMILIVU, UPENDO, SUBIRA NA UKOMAVU WA KISIASA!!!
TANZANIA HATUTAKUBALI DAMU YETU IMWAGWE ILI MTU MMOJA AINGIE IKULU!!!!

SORRY!!!!

zubeda unaonekana ulikua zero darasani hilo neno la kauli ya chadema kumwaga damu ulilipata wap? Hata kama umesoma elimu yako haijakusaidi unaskia lakini hauelewi, nan anahatarisha aman kama sio CCM walicho kifanya shinyanga si upuuzi, wananchi (wapiga kura) wanataka matokeo wakaondoa waandishi wa habari na kuwatangazia chadema imeshinda jambo ambalo liko wazi kwa mujibu wa kura za vituoni baada ya wananchi kutangaziwa wakatawanyika wakishangilia tume(imewekwa na ccm) ikakusanya waandishi na kutangaza mbuge wa ccm ndio ameshinda jimbo la shinyanga mjini wanaifanya hii nchi ni yao mwananchi akiwa na itakadi za kipinzani wanashirikiana na TRA kumfilisi ccm ni gundu kwenye nchi yetu muda ufike watambue walichokipata kimetosha na wanatakiwa kulipia, itikadi za kisultani zimepitwa na wakati.
 
Chadema msije mkalogwa mkakubali kujiunga na serikali ya mafisadi. Subirini serikali yenu wenyewe mtakayoiongoza mwaka 2015. Mkiingia kwenye serikali ya mafisadi mtajipunguzia hadhi. Kazi ya kuendelea kuwakomboa watanzania kifikra bado haijakamilika. Nawasihi sana subirini serikali yenu wenyewe. Watanzania tupo nyuma yenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom