Hali ya afya ya mkuu wa mkoa Pwani ni tete

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Habali za uhakika zilizonifikia ni kwamba hali ya afya ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Pwani HAJATI AMINA SAID MRISHO ni mbaya. Kwa sasa amelazwa katika Hospital ya Hindu Mandali jijini Dar es salaam. Cha ajabu hata JK hajaenda bado kumjulia hali. Wasamalia wema wanaombwa kwenda kumjulia hali mama huyo !
 
ndio maana katolewa kwenye ukuu wa mkoa
sasa wanasubiri nini kumtoa mwandosya kwenye uwaziri kwani ni ufalme
 
anaumwa nini mkuu??ngoma au kaugonjwa kao ka presha??acha afe wapungue 2015 iwe rahisi kuchukua nchi yetu

Wote Tutakufa, na hatujui uenda leo hii wewe ndie ukawa wa kwanza kufa ukamuacha mgonjwa. Tuwe wastaarabu hao wenyewe vigogo wa siasa nje ya siasa ni utu wanatendeana, mfano tumeona Zito Kabwe akizungumza na Mchemba na Aden Rage Kiurafiki Kabisa Sasa Inakuaje Wewe BWAKUBWAKU unakosa ubinadamu?
 
Pole mama ulisimamia vema kampeni ya kupiga vita magunia ya mazao aina lumbesa ili wakulima wasidhurumiwe ,mungu akupe afya njema
 
Pole sana mama hajat amina mrisho, Mungu akujaalie upone haraka.

Serikali isije ikamtelekeza huyu mama kama walivyomfanyia hawa ngulume.
 
Ugua pole mama Mrisho Mwenyezi Mungu akuafu haraka upate kurudi kwa familia yako. Tu tofauti kisiasa lakini nafsi tupo pamoja
 
Pole mama, Mungu kupitia la Mwanae wa pekee Yesu Kristo akuponye na kukujerejeshea afya iliyo njema. Ktk jina la Yesu tunaomba uponyaji ukushukie hapo ulipo, uwe mzima.............amen
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom