Habali za uhakika zilizonifikia ni kwamba hali ya afya ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Pwani HAJATI AMINA SAID MRISHO ni mbaya. Kwa sasa amelazwa katika Hospital ya Hindu Mandali jijini Dar es salaam. Cha ajabu hata JK hajaenda bado kumjulia hali. Wasamalia wema wanaombwa kwenda kumjulia hali mama huyo !