Hali ya Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema mashakani baada ya kugoma kula tangu akamatwe

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Habari zilizotufikia Dawati letu la habari kutokea jijini Arusha.

Zinasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J. Lema Hali yake ya Afya siyo nzuri baada ya kugoma kula chakula tokea akamatwe jana alfajiri. Hayo yanatokea yeye anapopinga kukamatwa kwani anasema amedhalilishwa na si haki kukamatwa na kwanini polisi hawataki kumpa dhamani ilihali ni haki yake.

Tunaendelea kufwatilia tutawajuza kinachoendelea

IMG-20160827-WA0062.jpg
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema amegoma kula akiwa mahabusu kwa kile anachodai hatendewi haki na amedhalilishwa.
Akizungumza na waandishi wa habari Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro baada ya kumtembelea mbunge Lema kumjulia hali amesema hali ya mbunge siyo nzuri na kuwa tangu jana alfajiri alipokamatwa hajala chochote.
Kalisti amesema kuwa analiomba Jeshi la Polisi wameachia kwa dhamana ili aweze kurudi jumatatu kwa kuwa kuendelea kumshikilia italeta madhara ya kiafya.
Mbunge Lema alikamatwa jana nyumbani kwake njiro saa kumi na mbili alfajiri kutokana na kutuhumiwa kuwa amesambaza taarifa za uchochezi kupitia mtandao.
 
Policcm hasa RPC's wajishile vichwa wajiongeze kaakili kidogo!! UKAWA ni political ideology sio kitu tangible! Watakimbizana na upepo wapite mitaani kw nguvu akili wameacha vituoni......somo limeshafika kwa watawala! Mwezi mzima hakuna kilichofanyika zaidi UKUTA ni somo tosha na ujumbe tosha , umefika mbali sana kw gharama za serikali! Wameipa promo ambayo haikutegemewa! Wanamkamata Lema bure!! Watumie akili kidogo!! EL anakula lunch and JPM kw Mkapa! Akili japo kidogo tu!!
Habari zilizotufikia Dawati letu la habari kutokea jijini Arusha

Zinasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J. Lema Hali yake ya Afya siyo nzuri baada yakugoma kula chakula tokea akamatwe jana alfajiri hayo yanatokea pale yeye anapopingwa kukamatwa kwani anasema amedhalilishwa na si haki kukamatwa. Na kwanini polisi hawataki kumpa dhamani ilehali ni haki ya haki yake

tunaendelea kufwatilia tutawajuza kinachoendelea
 
Yupo kwenye hunger strike, hii njia huwa inatumika na maaabusu au wafungwa ambao wanahisi hawajatendewa haki.
 
Habari zilizotufikia Dawati letu la habari kutokea jijini Arusha.

Zinasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J. Lema Hali yake ya Afya siyo nzuri baada yakugoma kula chakula tokea akamatwe jana alfajiri. Hayo yanatokea yeye anapopinga kukamatwa kwani anasema amedhalilishwa na si haki kukamatwa na kwanini polisi hawataki kumpa dhamani ilehali ni haki yake.

tunaendelea kufwatilia tutawajuza kinachoendelea
Mshaurini ale kama hataki aache hakuna namna..

Kwanza wanatakiwa wamchampe viboko..
 
Yupo kwenye hunger strike, hii njia huwa inatumika na maaabusu au wafungwa ambao wanahisi hawajatendewa haki.
Hunger strike za kibongo ni usanii tu Ukute anang'ata "trooper" au "blenda fasi"halafu anafuta midomo kama kobe la mchana. Then anavizia waandishi na wanaokuja kumsalimia anajilegezaaaaa. Serikali na polisi inabidi wawe makini na usanii huu vinginevyo watachezeshwa "Mahepe ngoma ya wajanja" hadi wafanye Kama ya mwangosi.
Kimsingi Hakuna aliyetayari kuandamana ila ni mbwembwe tu zimebaki
 
Daah pole sana kamanda Lema ila nadhani umeonana na mshikaji wako wa Kisongo
 
Back
Top Bottom